Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

ndo utapeli huo anasema watu wamtolee mungu halafu ananunua jet
Nadhani unatumia vibaya neno "Utapeli". Huenda hujui mahali pa kulitumia. Anaposema; Inuka umtolee Mungu wako" wewe unainuka kwenye kiti, unatoa wallet yako unachomoa huko misimbazi 10 unaenda kuiweka pale mbele kwenye kapu. Hujadanganywa kuwa unayemtolea anakwenda kukununulia ndizi mbivu bali unaambiwa umemtolea Mungu. Huo utapeli umetoka wapi?
Maneno mengi yatatutia hatiani siku moja. Ati kaenda kununua ndege, ulitaka akakope? Mbona kuna kiongozi mmoja alinmunua 6 tena cash.
 
Zamani viongozi wa kidini walikua na kazi zao waalimu,wahasibu,ma dokta ila siku hizo kazi yao ni kushinda madhabahuni tu huku wakisisitiza michango mwanzo mwisho.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila mtu hula ofisi yake. Sasa ka walikuwa waalim na huku wanachunga kondoo wa Bwana kuoni walikuwa hawatendi haki?? As a full time minister, yu have to be in your office 24/7
 
Hiyo ABC news yako ulo iona leo asubuhi. wamekili walikosea kutoa taarifa.na wameomba radhi.na Bushiri anataka kuwashitaki ila Lawyer wake bado anapinga kufungua kesi.hata hivo hawatakiwi kum =sue ugenini. kwa sheria za SADAC.
 
Kila mtu hula ofisi yake. Sasa ka walikuwa waalim na huku wanachunga kondoo wa Bwana kuoni walikuwa hawatendi haki?? As a full time minister, yu have to be in your office 24/7

Watumishi fanyeni kazi,wanakondoo tumechoka na vilio vyenu vya michango mjue.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom