Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'


M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,143
Likes
8,309
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,143 8,309 280
Tulia mkuu Nenda kampigie magoti yule msela Bushir huku ukimuita eti 'dadiiiiiiiiiiiiiiii',hahah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Soma nilichoandika nimesema sijawahi kumuona wala sina shida ya kumuona. Kwisha.
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,651
Likes
1,130
Points
280
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,651 1,130 280
Soma nilichoandika nimesema sijawahi kumuona wala sina shida ya kumuona. Kwisha.
Mueleze 'dadii' shida zako atakusaidia mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
N

Nyamizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2009
Messages
1,447
Likes
95
Points
145
N

Nyamizi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2009
1,447 95 145
Tulia mkuu Nenda kampigie magoti yule msela Bushir huku ukimuita eti 'dadiiiiiiiiiiiiiiii',hahah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umesahau Mkuu wanaita “My Papaaa” Am Daugheter/Son of Major 1.Ujinga mwingine bwana dah
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,117
Likes
9,337
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,117 9,337 280
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi,/ muumba mbingu na dunia./ Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu;/ aliyetungwa na Roho Mtakatifu,/ akazaliwa na Bikira Maria,/ akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,/ akasulubiwa, akafa, akazikwa,/ akashukia kuzimu;/ siku ya tatu akafufuka katika wafu;/ akapaa mbinguni;/ amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi;/ toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu,/ Kanisa takatifu katoliki,/ ushirika wa Watakatifu,/ maondoleo ya dhambi,/ ufufuko wa miili,/ uzima wa milele. Amina.Sent using Jamii Forums mobile app
 
nanabooty

nanabooty

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Messages
273
Likes
253
Points
80
nanabooty

nanabooty

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2019
273 253 80
Uyu pastor ni proffesional forex trader na ana vitabu vyake kabisa kuhusu iyo biashara labda kama anatusua kupitia uko....
Lakini pia akili za kuambiwa unachanganya na zako kutapeliwa kifala fala kabisa kunauma sana
Kumuona uyo na ela, sijui 15,000 rand au 1500..
Alafu kwa south anapiga sana hela.maana wasouth japo wana mambo ya ajabu sana pia ni watu wanaopenda sana kuabudu

Yani ukiwa prophet mwenye uwezo wa kutabiri yajayo umetoka..yani wasouth huwa hawafanyi jambo bila kulipeleka kwa nabii au mganga...Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,061
Members 485,449
Posts 30,112,197