Pastor Shepherd Bushiri, wife arrested for 'fraud & money laundering'

20190205_104931.jpg
 
Mungu atuhurumie waja wake
Hahah ni kama kipindi kile waumini wa Gwajima pale Central alivyodakwa kwa ile inshu ya madawa ya kulevya,waumini walikesha wakiimba pale.

Magu akauliza hivi inawezekanaje waumini kwenda kuimba pale Police lkn jeshini hawawezi kwenda kuimba hahah.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali sana Bushiri sio kwa mambo ya Dini bali kwa Kuchemsha ubongo wake vizuri, Ni Professional trader, Haswa Forex na mambo ya Mitandaoni, Wa south wanamuonea wivu dogo mana original yake ni mtu wa malawi,Huyu jamaa kwa jinsi alivyo na akili za kitapeli alipaswa kuwa mnigeria mana kule ndo kuna wadau wa level zake,
 
Aliwahi kuja TZ pale Ubungo Plaza Mwaka 2013-2014 nazani!
Baada ya huduma akasema wanaotaka kupanda mbegu wanyooshe mikono ,
Akaanza dola 1000, 700 na kushuka!
Akawaita mbele na kuwaombea!
Yani Mungu atusaidie wabongo!
Mimi nakwambia sikupanda mbegu yoyote!
Kuna mazingira nikitaka kutoa sadaka natoa lakini siamini ktk matangazo ya kutoa sadaka kwa kunadi mwenye hela nyingi aonekane na asiyekuwa nazo!
Halafu miaka hii imekuwa ni fasheni ya utoaji sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno la Mungu linafundisha kutoa sadaka kwa Siri !
Utoapo na mkono wako wa kuume basi hata wa kushoto usijue!
Sasa kwanini wanasema mwenye shilingi kadhaa anyooshe mikono kisha atoke mbele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ni mshenzi huyu nabii hupenda kuiweka Tanzania kwenye bad limelight!
Niliingia mgogoro mkubwa na x gf wangu kisa huyo jamaa,ana kanisa pia bongo liko makongo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwahi kuja TZ pale Ubungo Plaza Mwaka 2013-2014 nazani!
Baada ya huduma akasema wanaotaka kupanda mbegu wanyooshe mikono ,
Akaanza dola 1000, 700 na kushuka!
Akawaita mbele na kuwaombea!
Yani Mungu atusaidie wabongo!
Mimi nakwambia sikupanda mbegu yoyote!
Kuna mazingira nikitaka kutoa sadaka natoa lakini siamini ktk matangazo ya kutoa sadaka kwa kunadi mwenye hela nyingi aonekane na asiyekuwa nazo!
Halafu miaka hii imekuwa ni fasheni ya utoaji sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, huyu jamaa ana ndugu /anko Bongo ,maeneo ya Mbezi beach

Jamaa ukimfuatilia ni mjanja Fulani hivi ,ingawa mpigaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo AK makanisa ambayo ni local churchs kama la huyo jamaa,ndani yana maduka makubwaa,kila kitu kinapatikana ndani,chumvi,mishumaa,t-shirts,mabegi,blankets nk wanaambiwa eti vimeombewa na kubarikiwa na bwana!!!
 
Nadhani unatumia vibaya neno "Utapeli". Huenda hujui mahali pa kulitumia. Anaposema; Inuka umtolee Mungu wako" wewe unainuka kwenye kiti, unatoa wallet yako unachomoa huko misimbazi 10 unaenda kuiweka pale mbele kwenye kapu. Hujadanganywa kuwa unayemtolea anakwenda kukununulia ndizi mbivu bali unaambiwa umemtolea Mungu. Huo utapeli umetoka wapi?
Maneno mengi yatatutia hatiani siku moja. Ati kaenda kununua ndege, ulitaka akakope? Mbona kuna kiongozi mmoja alinmunua 6 tena cash.
ule ni utapeli, unawambia watun wamtolee mungu halafu we unachukua unanunua ndege ilitakiwa aseme strait nitoleeni mimi then azitumie atakavyo, hivi ukituambia tumchangie babu/bibi yako halafu ukatumia pesa hizo kununua maliyako binafsi huo si utapeli?
 
Ninabishana au naelewesha?? Kwanza sema interest zako ni nini?? Wewe ni mkristo? Unaijua sawa imani yako au umeshikishwa tu wala hujui hata ulicho amini??
Kama wewe ni mkristo, Unaamini neno la Mungu?? Nataka unipe mifano ya kibiblia sio mifano ya bibi. Naomba nirudie tena hapa wazi wazi.
Mimi si mfuasi wa Bushiri wala sio shabiki wake ila nakuusia; Mwache atumie mali yake kama apendavyo. Ingelikuwa ni rahisi kuingia na kufanikiwa ka yeye, nadhani usingeliyanene uliyo nena. Kwetu wanasema; Mbichi hizo sizitaki, kumbe moyo unauma kwa kutamani
 
Nadhani unatumia vibaya neno "Utapeli". Huenda hujui mahali pa kulitumia. Anaposema; Inuka umtolee Mungu wako" wewe unainuka kwenye kiti, unatoa wallet yako unachomoa huko misimbazi 10 unaenda kuiweka pale mbele kwenye kapu. Hujadanganywa kuwa unayemtolea anakwenda kukununulia ndizi mbivu bali unaambiwa umemtolea Mungu. Huo utapeli umetoka wapi?
Maneno mengi yatatutia hatiani siku moja. Ati kaenda kununua ndege, ulitaka akakope? Mbona kuna kiongozi mmoja alinmunua 6 tena cash.

Sasa ndugu yangu nikuulize hivi:
Kwani wewe unaelewaje kuhusu neno “ Tapeli”?
Labda tuanzie hapo!
Fahamu kuwa tapeli hanyang’anyi kwa mabavu kama jambazi la hasha!
Tapeli ni mtu anaekuja kwa mtu kwa kutumia lugha laiiini na tamu kwa kutumia maneno mazuri yenye kuonesha nia njema ya kutaka kumsaidia mtu, lakini moyoni mwake au nyuma yake kunakuwa na hila
Tapeli kwa maneno mengine ni “Laghai”

Waafrica wengi ni maskini wa kutupa !
Kwa nini Pastor atumie sadaka kwenye mambo ya anasa kama hayo ya kununua ndege na Magari ya thamani kubwa?
Ilihali waumini wake wamefulia?

Waumini wamechoka kuliko maelezo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom