Yaani ukiwaona wafuasi wao wanavyowatukuza, kumbe matapeli. Inasikitisha.
Nilishangaa jinsi JIWE alivyokuwa anamgwaya MWINGIRA siku alipowaita viongozi wa dini Ikulu,tapeli mwingine ambaye benki yeke ya EPHATA imefungiwa leseni!!
Yaani ukiwaona wafuasi wao wanavyowatukuza, kumbe matapeli. Inasikitisha.
Yani nashindwa waelewaYaani ukiwaona wafuasi wao wanavyowatukuza, kumbe matapeli. Inasikitisha.
Wanajiita wototo wa Major One..Yaani ukiwaona wafuasi wao wanavyowatukuza, kumbe matapeli. Inasikitisha.
Hiko kiswali ungemuuliza Gwajima angekujibu fresh sanaUtajiri alionao yeye kama kiongozi wa dini anafanya biashara gani?
Gwajima huwa anakitambaa cha kufuta jasho , huwa humuoni mkuu?ila wahubiri wana akili sana, wanakula bila hata jasho.
Kuna mahali majasho yanawatoka saaana,.ila wahubiri wana akili sana, wanakula bila hata jasho.
malawiHUYU MUHUBIRI NI RAIA WA NCHI GANI?
Wanajiita wototo wa Major One..
Kama wanaona wametapeliwa waache kumpa Bushiri wampelekee wenyewe mungu wao!ndo utapeli huo anasema watu wamtolee mungu halafu ananunua jet