Pastor Gwajima acha kupotosha watu

Gwajima hana tofauti na Deokisandu na Trump. Wakivuta maugooro yao au wakiota usiku wanakuja kuwaaminisha wafuasi wao kama kisandu alivyosema kagundua dawa ya ukimwi ya azuma na sasa trump kaota daw ya choroquine inatibu corona wakati nchi yake ikizidi kuteketea
 
Back
Top Bottom