Pastor Gwajima acha kupotosha watu

Mnatumia kivuli cha kanisa kula kondoo na bila aibu huogopi kutaja hata jina la Mungu kwenye ushenzi wenu na gwaji boy..

Hivi unataka proof gani zaidi ya ile video.. au utaniambia hujaiona ile video?? Jamaa kagonga manzi tena bad enough kapiga bao ndani ya sekunde 30.. halafu unaleta utopolo sijui wa txt na ushahidi.

Wewe endelea kutoa sadaka kwa huyo tapeli na mzinzi ..
wacha wee

Mimi sio muumini wake bhn,ila jaribu kutokupiga domo sana kwenye masuala kama hayo,au inshu yoyote be cool utakuwa wa busara sana.

Pale nilitaka kukuchallenge ili uelimike kitu kama huna nacho ushahidi tulia tuu,Mungu ataumbua.

Siku hizi ni kweli duniani kumejaa uchafu sana
Dont panic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
Huyu kwa sasa nadhani ndio mhubiri anayeongoza kwa uongo duniani
 
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
Huyo ni.msikuma awamu hii hawaguswi na mtu ni ya kwao
 
Hakuna editing ya vile.. waumini wake ndo mmeaminisha eti ni editing.. hivi hata common sense hamuwezi kutumia??
Usiparamie mambo bhana
Sasa wewe kama msomi na Jf Expert ambae tayari tunakutegemea kuwa siku zote ukitoa any information uwe na evidence,unaamimije ile video???

Mimi hata hiyo 5G simuungi mkono kwa sabbu hana ushahidi wa kutosha amebaki anaropoka tuu,lakini imenifanya nitulie kwa sbabu sina ushahidi kuwa anachoongea ni kweli au laah

Ila kama ikitokea maneno aliyoongea yatareflect na kitakachotokea kwa bdae basi nitamwamini kwa 100% sasa hivi nimekuwa na busara ya kuwa kimya kuliko kuongea.

Lipo suala la mafuta ya upako la Mwamposa,siwezi pinga,na pia sitotumia nitasikiliza anachosema then nitachambua maneno aliyoyasema jee ni sahihi au laa?

Kama sivyo nitajitenga na kuwa kimya.

Asikwambie mtu kimya kina nguvu kuliko maneno mengi,kaangalie watu wakimya kwenye jamii wanavyochululiwa..wengine wamahisi ni kiburi na wengine wanaona ni Hekima/Busara inategemea ni kwa jinsi gani watu wanakuchukulia.

Hapo ndio tofauti yangu na wewe..
Mimi ukinipiga kamba inayoonekana nakuchana hapo hapo.. mambo ya 5G ni uongo . Ile video ni yake . Mafuta ya mwamposa waumini wake ni mapoyoyo kabisa.. hapo naweka FULL STOP
 
Kwan ni picha tu mkuu,hata video
Ndiyo maana nakwambia kwa mtu asiye na upeo wa hao mambo ndiyo anaweza asijue. Ila mimi niliangalia na nakumbia 100% yule ni Gwajima tena alijirekodi mwenyewe. Hata maelezo yake ya mwanzo alikuwa kama anakiri kuwa ni yeye ila viongozi wa dini wenzake wakaja kumshauri akanushe na wenyewe watamtetea. Ile siyo ya kutengeneza hata kidogo.
 
Haya ngoja nikukubalie.., japo kwa nilivyoiona inaweza kuwa ya kutengenezwa pia.
 
Hapo ndio tofauti yangu na wewe..
Mimi ukinipiga kamba inayoonekana nakuchana hapo hapo.. mambo ya 5G ni uongo . Ile video ni yake . Mafuta ya mwamposa waumini wake ni mapoyoyo kabisa.. hapo naweka FULL STOP

Huyu jamaa anaweza kuwa na kausanii usanii ila sasa wewe usitie neno kuwa kimya tuu maisha yaende,hata kwenye jamii ndg ukiwa silent utasoma akili za watu sana! Ila uwe na bidii ya kusoma pia mambo kwenye mitandao!utarudi hapa kunishukuru!

Wee hukumbuki kwa kigogo ile insh ya mzee baba??? Kuwa kalala mbele? jamaa akaparamia kwel kwel mtandaoni kwa sbabu ya wapuuzi flan wa TISS kumnotify habar sio rasmi, na watu twita kule wakashabikia vbaya mno na baadh ya wabunge

After mzee kutokea watu hoi!

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom