Pastor Gwajima acha kupotosha watu

Pastor Gwajima acha kupotosha watu

Mwanzo kabisa alisema anashauri kama mtumishi wa Mungu, kwahio labda kapata maono,kwahio usitake uthibitisho wa kisanyansi,imekaa kiimani zaidi.
Kudungwa chanjo ni jambo linalo onekana kwa macho, Je hao wakongo wamedungwa kwa imani?.
 
[emoji38]
Huyu jamaa anaweza kuwa na kausanii usanii ila sasa wewe usitie neno kuwa kimya tuu maisha yaende,hata kwenye jamii ndg ukiwa silent utasoma akili za watu sana! Ila uwe na bidii ya kusoma pia mambo kwenye mitandao!utarudi hapa kunishukuru!

Wee hukumbuki kwa kigogo ile insh ya mzee baba??? Kuwa kalala mbele? jamaa akaparamia kwel kwel mtandaoni kwa sbabu ya wapuuzi flan wa TISS kumnotify habar sio rasmi, na watu twita kule wakashabikia vbaya mno na baadh ya wabunge

After mzee kutokea watu hoi![emoji23]

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nakaa kimya kama vitu haviko clear kama ile ishu ya mkulu.. kwanza btw mimi sijawahi kuwaelewa mange na kigogo though baadhi ya vitu wanavyoongea ni kweli (baadhi) ..
Lakini vitu ambavyo viko clear kama mafuta ya mwamposa kuwa scam , video ile ya gwajima na vitu kama hivyo lazima niongee aiseeh..

Kuna vitu vya kukaa kimya lakini kuna vitu ambavyo vinagusa uhai wa watu kama ujinga wa mafuta ya mwamposa na utapeli wa gwajima kuhusu corona lazima niongee aiseeh.
 
Nyie wachangiaji acheni kutoa comment ambazo mnapinga tu jambo kwa sababu limesemwa na mtu usiyempenda. Kama ilimwona Gwajima kwenye video "akiwa anakula kondoo" hilo halifanyi kila anachosema kisiwe sahihi.

Gwajima anachosema kuhusu G5 NI SAHIHI KABISA. Wataalamu wa radiology walijua miaka mitatu iliyopita kwamba G5 ni hatari sana kwa viumbe hai. G5 minara yake ina mionzi mikali kabisa. Kuna sehemu Uingereza na USA ambapo baada ya minara ya G5 kuwekwa, miti iliyo karibu imekauka tena ndege na wanyama waliopita karibu pia walikufa.

Hapa kwetu japo tunatumia minara ya G3 (kwa sehemu kubwa), bado kuna tahadhari watu wasiwe wanaishi au kufanya shughuli pembeni kwa sababu mionzi yake ni hatari kwa afya. Kama kwa G3 kuna athari, je sio hatari zaidi kwa G5?

Watu wenye upungufu wa kinga wanapokuwa kwenye eneo lenye G5 hivyo virusi vya corona vinanawiri sana. Ndio maana Wuhan walikuwa wanatumia G5 sana wakaathirika wengi. Vivyo hivyo New York, California, Spain, Italy ni maeneo yenye G5 ndio yameathirika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nakaa kimya kama vitu haviko clear kama ile ishu ya mkulu.. kwanza btw mimi sijawahi kuwaelewa mange na kigogo though baadhi ya vitu wanavyoongea ni kweli (baadhi) ..
Lakini vitu ambavyo viko clear kama mafuta ya mwamposa kuwa scam , video ile ya gwajima na vitu kama hivyo lazima niongee aiseeh..

Kuna vitu vya kukaa kimya lakini kuna vitu ambavyo vinagusa uhai wa watu kama ujinga wa mafuta ya mwamposa na utapeli wa gwajima kuhusu corona lazima niongee aiseeh.
[emoji23][emoji23]
sawa sawa mkuu,uzuri mmoja nashukuru nimekutana na mtu ambaye upo njema kichwani.Kila la kheri[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
Ni akili tu ana

electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
 
Sasa kuleta habari ya Mbowe katika uzi huu huoni kuwa unadhihirisha utahaahira wa kilumumba ,kama unataka ungeanzisha uzi unaohusu wafuasi wa Mbowe kitu ambacho kila mwenye akili angekupuuza kwani Mbowe hana wafuasi. Ndiyo maana nimekuwekea mapicha ya misukule ya CCM
Si umeona unavyo payuka hii Ni sifa moja wapo ya wafuasi wake [emoji16][emoji3][emoji2960]

Sent from Tapatalk
 
Nimeona Ile clip Kwa kweli huyu tapeli anahitaji achukuliwe hatua Kali Sana za kisheria. Kaniacha hoi baada ya kudanganya kuwa nchi ya Congo wameanza kupigwa chanjo na waumini wake waliinuka kitini na kuanza kumshangilia.
Hii inanikumbusha Kibwetere. Kila alichokisema hakukuwa na wa kumpinga. Matokeo yake tunayajua, walikubali mafundisho yake hadi kifo kilipowakuta. Wajinga ndo waliwao.
 
Aisee binadamu tunatofautiana. Mimi tapeli kama yule hanipati hata kidogo. Naamini kuna Mungu lakini nina uhakika Mungu hawezi kumtumia tapeli na mzinzi kama yule kuwasilisha ujumbe wa binadamu.
Labda mungu lakini sio MUNGU. chungaji tema anayejiita askofu anahubiri kuanzisha vikundi vya kikabila na kigaidi nchini........
Alafu kaachwa mtaani eti vile tu ni kabila na Bashite na jiwe
 
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
Acha awadanganye mazombi si yametaka yenyewe taifa limejaa mang'ombe kila Kona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38] wacha wee!

Weee jamaa taalamu kweli kweli asilimia 100%? duuh! wee mwamba

nikikutafuta unipe prove ya ulichokiandika + evidence ya maneno yako unaweza kunipa????

Je una ushahidi wako binafsi ukionyesha kuwa kamla kondoo???

Jee? wakati anamla huyo kondoo ulikuwepo???au uliweza kupiga picha?

Jee? Unafahamiama na kondoo mwenyewe?

Jee? Unaweza kunipa angalau ya udukuzi wako binafsi uliofanya angalau wa messages/calls walizotumiana wakati wakiwa kwenye relation??? Ukiweza nitakupa 1mil juu.

tusipende kuonyesha ubingwa wa kuzungumza na kuandika pasipo sababu yoyote,ukimya ni heshima na busara kuliko upumbavu.

NB: Mwenye kipimo ni Mungu pekee! kazi yetu ni kushauriana,kuonyana na kukaripiana tena ikiwezekana faraghani.



Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ungese wewe gwajima ana utaramu gani au elimu ipi kuweza kuongea hayo,sisi tunamjua muda tangu alipokua akiishi msewe kwa kina zarau hana lolote ni wajinga tu wanaomuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimuona wewe live????
Ile ni video ndio,ila ulimuona??? na kama Editing?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumei play na kuichunguza ni kweli hakuna editing,halafu kwani ni mara ya kwanza gwaju boy kuyafanya hayo,je na hile skendo ya kuzaa na bint mwehu kidogo pale chai bora kwa nini gwaju alikataa kupima DNA mbona issue ya madawa kzkubali kupima faster,husitufanye mazwazwa sisi tuna uelewa kuliko wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiparamie mambo bhana
Sasa wewe kama msomi na Jf Expert ambae tayari tunakutegemea kuwa siku zote ukitoa any information uwe na evidence,unaamimije ile video???

Mimi hata hiyo 5G simuungi mkono kwa sabbu hana ushahidi wa kutosha amebaki anaropoka tuu,lakini imenifanya nitulie kwa sbabu sina ushahidi kuwa anachoongea ni kweli au laah

Ila kama ikitokea maneno aliyoongea yatareflect na kitakachotokea kwa bdae basi nitamwamini kwa 100% sasa hivi nimekuwa na busara ya kuwa kimya kuliko kuongea.

Lipo suala la mafuta ya upako la Mwamposa,siwezi pinga,na pia sitotumia nitasikiliza anachosema then nitachambua maneno aliyoyasema jee ni sahihi au laa?

Kama sivyo nitajitenga na kuwa kimya.

Asikwambie mtu kimya kina nguvu kuliko maneno mengi,kaangalie watu wakimya kwenye jamii wanavyochululiwa..wengine wamahisi ni kiburi na wengine wanaona ni Hekima/Busara inategemea ni kwa jinsi gani watu wanakuchukulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kinachokuwasha ni nini mbk umsemee si ukae kimya tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatumia kivuli cha kanisa kula kondoo na bila aibu huogopi kutaja hata jina la Mungu kwenye ushenzi wenu na gwaji boy..

Hivi unataka proof gani zaidi ya ile video.. au utaniambia hujaiona ile video?? Jamaa kagonga manzi tena bad enough kapiga bao ndani ya sekunde 30.. halafu unaleta utopolo sijui wa txt na ushahidi.

Wewe endelea kutoa sadaka kwa huyo tapeli na mzinzi ..
mchungaji anayechunga kondoo wake akijisikia hamu ya nyama-mnataka akamle nani??,lazima ale kondoo wake ili apate mzuka wa kuwachunga wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
Huyu ni askofu wa wajinga alitaka kutuingiza kwenye ukabila sasa yupo kwenye upotoshaji wa kimataifa na hana aibu.
 
Huyu ni askofu wa wajinga alitaka kutuingiza kwenye ukabila sasa yupo kwenye upotoshaji wa kimataifa na hana aibu.
Nililuwa namkubali sana Ngwajima ila hili hapana.
Eti watu wamefunga nyumba za ibada wanapuputika tena anatoa mfano Kenya. Ishu ni kuondoa misongamano sio kifunga ibada. Njia ya misongamano ikiwa imefungwa basi kasi ya kuenea kwa corona itapungua.
Kenya baada ya Muda mambo yataweza kuwa sawa je atakuja kusema tena? Suala la lockdown ndio njia pekee ila kwa nchi zetu hatu hatuna hela za kula. Watu tutakufa njaa.
 
Back
Top Bottom