Pastor Gwajima acha kupotosha watu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Nimeona mara 2 Gwajima akihubiri mambo yafuatatayo:

1. CORONA virus inatokana na 5G technology (hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi).

2. Kwamba DRC wamesha anza kudingwa sindano za chanjo ya corona (hawajaanza na hakuna nchi ambayo imesha anza kutoa chanjo za corona zaidi ya maandalizo na test).

Tungeomba Gwajima aheshimu maelekezo ya kitaalam kuliko kuwadanganya wananchi maskini ili kupata sadaka zao.

Pia, tunaomba serikali ili angalie jambo hii kwa watu kama Gwajima ambao wanatumia nafasi zao za kiroho kupotosha uhalisia wa ugonjwa wa corona.
 
wacha wee!

Weee jamaa taalamu kweli kweli asilimia 100%? duuh! wee mwamba

nikikutafuta unipe prove ya ulichokiandika + evidence ya maneno yako unaweza kunipa????

Je una ushahidi wako binafsi ukionyesha kuwa kamla kondoo???

Jee? wakati anamla huyo kondoo ulikuwepo???au uliweza kupiga picha?

Jee? Unafahamiama na kondoo mwenyewe?

Jee? Unaweza kunipa angalau ya udukuzi wako binafsi uliofanya angalau wa messages/calls walizotumiana wakati wakiwa kwenye relation??? Ukiweza nitakupa 1mil juu.

tusipende kuonyesha ubingwa wa kuzungumza na kuandika pasipo sababu yoyote,ukimya ni heshima na busara kuliko upumbavu.

NB: Mwenye kipimo ni Mungu pekee! kazi yetu ni kushauriana,kuonyana na kukaripiana tena ikiwezekana faraghani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatumia kivuli cha kanisa kula kondoo na bila aibu huogopi kutaja hata jina la Mungu kwenye ushenzi wenu na gwaji boy..

Hivi unataka proof gani zaidi ya ile video.. au utaniambia hujaiona ile video?? Jamaa kagonga manzi tena bad enough kapiga bao ndani ya sekunde 30.. halafu unaleta utopolo sijui wa txt na ushahidi.

Wewe endelea kutoa sadaka kwa huyo tapeli na mzinzi ..
 
wacha wee!

Weee jamaa taalamu kweli kweli asilimia 100%? duuh! wee mwamba

nikikutafuta unipe prove ya ulichokiandika + evidence ya maneno yako unaweza kunipa????

Je una ushahidi wako binafsi ukionyesha kuwa kamla kondoo???

Jee? wakati anamla huyo kondoo ulikuwepo???au uliweza kupiga picha?

Jee? Unafahamiama na kondoo mwenyewe?

Jee? Unaweza kunipa angalau ya udukuzi wako binafsi uliofanya angalau wa messages/calls walizotumiana wakati wakiwa kwenye relation??? Ukiweza nitakupa 1mil juu.

tusipende kuonyesha ubingwa wa kuzungumza na kuandika pasipo sababu yoyote,ukimya ni heshima na busara kuliko upumbavu.

NB: Mwenye kipimo ni Mungu pekee! kazi yetu ni kushauriana,kuonyana na kukaripiana tena ikiwezekana faraghani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama wewe ni nyumbu wa Gwajima lakini wengine tuna akili zetu. Ile clip ni Gwajima kwa 100% anafanya ngono! Kama aliwadanganya nyie nyumbu wake kuwa siye yeye poleni sana.
 
Back
Top Bottom