Past katika mahusiano?


well kwangu sio ishu ya kuaminiana au vipi,it's rather kufahamiana zaidi haswa kama ishu ya ndoa inahusika!imagine jirani,nesi au daktari (mbaya zaidi anakuwa rafiki yako)anamfahamu wife wako zaidi ya unavyomfahamu wewe?!!Mungu aliumba Adam na Eva wakiwa uchi kabisa,manake kila nyumba ina utupu wake,na lazima kusiwepo siri baina yetu na kudanganyana(hapa nitampenda na kumheshimu zaidi).huu ndio msingi wa kusitiriana na kuheshimiana kama familia.sitaki ku-hang out na washikaji afu nikawa nachangia katika maongezi ambayo kumbe yanamhusu mpenzi wangu bila kujua na jamaa wananing'ong'a napochangia kwa bidii! lol....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…