Hauko peke yako Kongosho. Mie kazini natakiwa kubadilisha kila baada ya wiki sita yaani nakaribia kumaliza majina ya ndugu na marafiki. Nikiishiwa basi nitazuka hapa nianze kutumia ID za hapa πππ halafu inabidi uweke vitu kama hivi ~@!#^*&$ pamoja na namba ili ikubalike kwenye system.