KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Hivi kama tunakuwa kwenye mahusiano inamaana tuna aminiana lakini kuna baadhi yetu huwa tunakuwa na jambo hili la Password kwenye email zetu simu zetu!
Kwanini hatuziachi wazi?
Mbona wenzetu wanawake wapo wazi sana katika hili?
Sisi wanaume nini kinatusababisha kuwa na Password kwenye simu?
Nilimsikiliza Mbasha katika kipindi sha Spora show alisema Nanukuu"PASSWORD ZETU NIMOJA SIMU TUNATUMIA SIMU MOJA"
Je wewe katika mahusiano yako unaweza?
Au tuseme Technology ndo inatukwaza!