Password!Kwa nini?

Password!Kwa nini?

watoto hawa wanatakakuchezea anga hizi za wakubwa haaaaaaa!!

yani wewe umpindue matola born here here? she is safe in my hands.

Aaaaaaaaaawwww! I am loyal to you my love, siwezi nikakusaliti kwa mambo madogo! For thick n thin i am behind you! You can relax i got your back!

I am officially taking my place as a woman, to fullfeel his mans dreams!
 
kwenye simu ni kutojiamini.
emails ni too personal labda kwa wanandoa sawa.
Hao kina mbasha walitaka kunogeza interview ipendeze zaidi.
 
Sifichi password zote maana sina chakuficha, emails fungua, bank nenda ila huwezi niibia
 
Mi mke wangu hana shida kabisa na password,
kuna muda utakuta nachat na mchepuko kwenye simu, then ghafla naanza kucheka.
Yeye anasema halafu wewe unachat na kimada wako hapo!
Kisha mimi kwa kujiamini nasema kama ni kimada chukua simu usome mwenyewe (wakti huo ni kweli pana msg ya mchepuko)
kisha yeye anaishia tu kusema haya bwana na usanii wako huku anacheka.
 
Aaaaaaaaaawwww! I am loyal to you my love, siwezi nikakusaliti kwa mambo madogo! For thick n thin i am behind you! You can relax i got your back!

I am officially taking my place as a woman, to fullfeel his mans dreams!

am humble I feel so special one, I relax to the fullest to see my dreams becomes true, as u know successful archived by hard work and determination.
 
Ila jamani zinasaidia acha ila wale wenye simu Za android tumieni hii apps ninzuri inaitwa Vault!
 
Back
Top Bottom