Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Mimi bebi wangu, piko wa moyo wangu Matola kaweka. Password, ila i dont fret at all! Sitishiki nayo kabisaaa!
WHY? BCAUSE I TRUST HIM, AND I TRUST ME THAT HE WAS NOT A MISTAKE! Mambo mengine private kama balance za Mpesa, na bank kwa wale wa mobile banking, maugomvi ya kifamilia, bosi anakipa za uso, your partner doesnt have to know!
jifunze kusahau habari za boss, am the boss and you are my right hand and assistant. incase niko mgonjwa hakuna kitakachosimama.
Last edited by a moderator: