Passport yangu imeisha muda, ku-renew passport gharama zikoje?

mkuu gharama yake ni yakawaida tu 50,000tshs.ila uende nanakala ya cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha kura
 
Back
Top Bottom