Mkulima Wa leo
Member
- Nov 9, 2019
- 11
- 11
Wanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Wanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Wanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Hiyo hawaitaki SA lazima iwe kubwa kiongoziWanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Hapana huwez. ila unaweza kwenda nayo mpaka Zimbabwe . ukifika harare chukua magar ya kwenda south . mwambie dereva au msaidiz wake kuwa hauna passport. watakuchaji kiasi chao basi wenyewe watahakikisha unafika south salama. Mtaenda na basi mpk karibia border, halaf msiokua na passport mtashushwa mtapakiwa kwenye gari nyingne, mtapitishwa njia za panya sema ni salama, halaf basi mtalikuta mbele likiwasubiria . Safar njema..Wanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Ikitokea umekamatwa hayo maeneo ya njia za panya si utahesabika kama mhamiaji haramu?Hapana huwez. ila unaweza kwenda nayo mpaka Zimbabwe . ukifika harare chukua magar ya kwenda south . mwambie dereva au msaidiz wake kuwa hauna passport. watakuchaji kiasi chao basi wenyewe watahakikisha unafika south salama. Mtaenda na basi mpk karibia border, halaf msiokua na passport mtashushwa mtapakiwa kwenye gari nyingne, mtapitishwa njia za panya sema ni salama, halaf basi mtalikuta mbele likiwasubiria . Safar njema..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Rushwa ya Waziwazi huwezi kukamatwa, sema angejua angepambana apate Passport kubwa..... Coz kuna changamoto Zake ukiingia SA bila Passport....Ikitokea umekamatwa hayo maeneo ya njia za panya si utahesabika kama mhamiaji haramu?
Huwez kukamatwa sababu yule dereva na msaidiz wake walishaweka kila kitu sawa police hawawez kuwagusa wanamalizana juu kwa juu na dereva...Ikitokea umekamatwa hayo maeneo ya njia za panya si utahesabika kama mhamiaji haramu?
Asante sana nitafuata ushauri wakoMtoa Mada nakushauri kama mtu mwenye uzoefu na huko unakotaka kwenda....
Karne hii watu hawaendi tena SA bila Passport au passport za kuunga!
Jichange nenda Kachukue Passport yako kubwa then safiri kwa raha Mustarehe.... Otherwise utakuja kupata shida sana.