Passport ya muda mfupi inanifikisha South Africa?

Kwa safari ya muda mfupi kama mwezi mmoja mtanzania hana ulazima wa kuwa na visa unapokwenda SA na nchi yoyote nyingine mwanachama wa SADC. Ila utahitaji kuwa na Pasport tu. Sina uhakika na pass ya muda mfupi kama inakubalika.
 
Wanajamii naomba kujulishwa kama passport ya muda mfupi inaweza kunifikisha Afrika Kusini.
Hapana huwez. ila unaweza kwenda nayo mpaka Zimbabwe . ukifika harare chukua magar ya kwenda south . mwambie dereva au msaidiz wake kuwa hauna passport. watakuchaji kiasi chao basi wenyewe watahakikisha unafika south salama. Mtaenda na basi mpk karibia border, halaf msiokua na passport mtashushwa mtapakiwa kwenye gari nyingne, mtapitishwa njia za panya sema ni salama, halaf basi mtalikuta mbele likiwasubiria . Safar njema..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea umekamatwa hayo maeneo ya njia za panya si utahesabika kama mhamiaji haramu?
 
Kuna Rushwa ya Waziwazi huwezi kukamatwa, sema angejua angepambana apate Passport kubwa..... Coz kuna changamoto Zake ukiingia SA bila Passport....
 
Mtoa Mada nakushauri kama mtu mwenye uzoefu na huko unakotaka kwenda....

Karne hii watu hawaendi tena SA bila Passport au passport za kuunga!

Jichange nenda Kachukue Passport yako kubwa then safiri kwa raha Mustarehe.... Otherwise utakuja kupata shida sana.
 
Asante sana nitafuata ushauri wako
 
Back
Top Bottom