Passport ya Kikwete haijajaa jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,134
Immigration m na kazi mpaka kidume aondoke sijui mtagonga mara ngapi passport yake
polen sana sana najua shuruba zao wah wanapokuja na mapassport yao lakini mkomae
ndio hivyo tushauzwa tutafanyaje
 
Halafu havichekeshi zaidi ya kufichua ukata wa akili wa mwandishi wake. Kama huna kazi msikilize 20% upate ujumbe.
 
ha ha ha jana mkewe kaenda "kunywa chai ya jioni" na ma first ladies hakika tumeuzwa, tutafanyaje! hukoo kuala lumpur wakati mumewe ana puyanga kula bata za malaysia kabla ya hapo walitokea sychelles, HATAAAAAREE
 
Immigration m na kazi mpaka kidume aondoke sijui mtagonga mara ngapi passport yake
polen sana sana najua shuruba zao wah wanapokuja na mapassport yao lakini mkomae
ndio hivyo tushauzwa tutafanyaje
Crap fom crapist.
 
ha ha ha jana mkewe kaenda "kunywa chai ya jioni" na ma first ladies hakika tumeuzwa, tutafanyaje! hukoo kuala lumpur wakati mumewe ana puyanga kula bata za malaysia kabla ya hapo walitokea sychelles, HATAAAAAREE

Pole sana. Kama una muda wa kufuatilia kila kinachoka na kuingia ikulu basi familia yako unainyima nafasi ya kuwatumikia. Ulitaka asiende? Mbona hao first ladies wengine wamekwenda?
 
Ni kwa ajili ya kufahamu kasafiri mara ngapi,nadhani imefikia hatua tunahitaji idadi ya safari ili tujue gharama za safari na tija yake
 
Hivi mambo ya Ndani wametoa Passport ngapi tangu huyu fisadi awe pale Magogoni? Wamnyime Passport au ndege iuzwe ili atulie
 
Back
Top Bottom