Passport inahitajika

Passport inahitajika

Ni kweli ila wale jamaa wa uhamiaji bila kuwapa kidogo aise utazungushwa mpaka ukome, binafsi nilizungusha kama miezi 3 hivi mfululizo ila siku nilipotoa laki 2 na nusu ndani ya wiki 2 nikapata bila shida. Ukweli ndiyo huo.

duuuh! halali ni elfu 50 nchi ngumu hii!
 
Passport nayo inataka agent mkuu?
Kwanza lazima utambue kwamba ni kosa kisheria kwa mtu kukutwa/kumiliki passport ya mtu mwingine labda kwa ruksa maalum.Hiyo pekee inatosha kukuonyesha kwamba passport ni kitu nyeti sana.Binafsi niliingia uhamiaji saa 6mchana na ilipofika saa9 nikawa nimekamilisha kila kitu na nikapangiwa siku ya kwenda kuchukua.
So tenga siku1 tu nenda kamalize kila kitu.
 
Toa laki na nusu,cha msingi finger print unaweza ukaiscan ukanitumia kwenye email ndani ya masaa 24 utakuwa ushapata passport yako,tayarisha na pix kama ulivyoambiwa!
Hiyo Pesa ipo,sema tuonane wapi na lini.? Mimi nipo Arusha.
 
Hizo step duty ndio nini?..ivi ni kweli mpaka ue na barua ya mualiko ya kutoka let say nje ya nchi ndio unapata hiyo kitu??


Niliambiwa gharama ni sh.85000 na siku hizi eti within two weeks unaipata.
 
Habari za Jpili.?
Nahitaji kupata passport halali ya kusafiria toka Uhamiaji.Ni mzaliwa wa Tz,na nina cheti Original cha kuzaliwa,halikadhalika wazazi wangu ni watanzania wa kuzaliwa.

Naomba kupata connection ili niweze kupata passport ya kusafiria,najua kuwa zinatolewa Uhamiaji ila nimebanwa na kazi kwa hiyo nahitaji agent wa kunisaidia kupata ila asiwe TAPELI.
Kwa anayeweza kunisaidia kupata awasiliane nami kwa PM au anipe contact zake hapa jukwaani.



Asanteni.!


Kutoka Mwanza mwaka Lindi huhitaji passport i unasafiri tu
 
Back
Top Bottom