Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,004
Habari za Jpili.?
Nahitaji kupata passport halali ya kusafiria toka Uhamiaji.Ni mzaliwa wa Tz,na nina cheti Original cha kuzaliwa,halikadhalika wazazi wangu ni watanzania wa kuzaliwa.
Naomba kupata connection ili niweze kupata passport ya kusafiria,najua kuwa zinatolewa Uhamiaji ila nimebanwa na kazi kwa hiyo nahitaji agent wa kunisaidia kupata ila asiwe TAPELI.
Kwa anayeweza kunisaidia kupata awasiliane nami kwa PM au anipe contact zake hapa jukwaani.
Asanteni.!