Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,586
- 10,260
Kuna sister hapa ameagiza kitimoto naisubiria kwa hamuDuh nishachinja na kugonga kisusio itakuaje sasa
Nimefika kwenye huu msitari nikiwa na kipande cha nyama dah😥 sijui niteme tu,,,,Kwanini Nyama Hailiwi siku ya Ijumaa?.
Nyama ilichukuliwa kama chakula cha anasa
Endelea tu bro. Hujakusudia.Duh nishachinja na kugonga kisusio itakuaje sasa
nimefika kwenye huu msitari nikiwa na kipande cha nyama dah😥 sijui niteme tu,,,,
nimekumbuka mimi ni msabato wacha nizitafuneee
🤣🤣 Maisha bila bangi hayawezekani kabisa mkuu!!!Kristo amefufuka.
Huku kwetu leo ni makande mzee 😀 najua nyie haya mmeyazoea 😂😂😂nimefika kwenye huu msitari nikiwa na kipande cha nyama dah😥 sijui niteme tu,,,,
nimekumbuka mimi ni msabato wacha nizitafuneee
hata sio mgumu ila ukizoea utaona kila kitu kipo kawaida,, mim nimezaliwa na kukulia usabatoni kwahiyo sioni changamoto yyoteUsabato ni mgumu sana.
Mm napenda wanavyoimba na wanavyojiweka Natural. Hasa wanawake.
Na Ukikuta Pisi ya kisabato alaf awe mzur. Bas ni mzur kweli.
😂😂😂😂
ndio tumeyazoea na nimatam mnoooo,,Huku kwetu leo ni makande mzee 😀 najua nyie haya mmeyazoea 😂😂😂
Mjukuu hujasubiri kupewa maua, umeamua kujipa mwenyewe😅hata sio mgumu ila ukizoea utaona kila kitu kipo kawaida,, mim nimezaliwa na kukulia usabatoni kwahiyo sioni changamoto yyote
sisi ni timu naturally😆, maadili ya kisabato yamenifanya nishindwe kupaka makeup kabisa🤦♀️🤦♀️ ila lipstick huwa,najaribu mara moja moja na saivi ndo nimeanza na kusuka,, vipodozi vingine vinanishinda kabisa
mfano mzuri ni mimi👌😇 mama yangu alizaa hebu nimpe maua yake tu ( wanao nifahamu wasione hii comment🤣🤣),, olu ñ olu mimi ni kareembooo sema ndo vile bado najitafuta😆😆😆😆
sisi ni timu naturally😆, maadi ya kisabato yamenifanya nishindwe kupaka makeup kabisa🤦♀️🤦♀️ ila lipstick huwa,najaribu mara moja moja na saivi ndo nimeanza na kusuka,, vipodozi vingine vinanishinda kabisa
mfano mzuri ni mimi👌😇 mama yangu alizaa hebu nimpe maua yake tu ( wanao nifahamu wasione hii comment🤣🤣),, olu ñ olu mimi ni kareembooo sema ndo vile bado najitafuta😆😆
sijataka kusubiri kabisa babu😆😆 raha na maua najipa mwenyew, ila familia yangu huwa inanipa mara moja moja isipokua kaka yangu mmoja😪Mjukuu hujasubiri kupewa maua, umeamua kujipa mwenyewe😅
Nakukaribisha Mbezi Luis kesho, nitasali hapo😅😅