WENYE PASSO WANA VURUGU ZA KIJINGA BARABARANI MARA ATANUE/ACHOMEKEE, HONI in short hawatulii barabarani hapo kafungua kioo anabania mafuta.Yaani Passo ni kama LAANA hv
wenye vitz/swift tunaomba uanachama kwenye POA ila inabidi mubadilishe jina liwe SPVOA (Swift Passo & Vitz Owners Association. Ili twende sawa. Maana matatizo yetu yanafana ikiwemo hilo la kudharaulika barabarani na kwenye Parking
kwani piston tatu inashida gani mkuu.nataka niingie yard muda si mrefu nam nipate kausafiri kakutembelea usiku na kwendea kanisani hata mikesha, maana mikesha ya mwsho wa mwaka sijaifadi kisa usafiri.
WENYE PASSO WANA VURUGU ZA KIJINGA BARABARANI MARA ATANUE/ACHOMEKEE, HONI in short hawatulii barabarani hapo kafungua kioo anabania mafuta.Yaani Passo ni kama LAANA hv