CRDB wanatoa Passo 1 kwa mwezi wakati wenzao Airtel walikuwa wanatoa IST kila siku, acheni kudhalilisha wateja wenu nyie CRDB yaani katika gari zote mmeona Passo nayo gari tena Passo 1 kwa mwezi
Halafu unamkuta mtu anaendesha Passo (BVR) huku kafungua vioo kisa anabana mafuta, kwenye foleni kidogo na gari anazima kabisa ili mafuta yasiende daah!
Halafu unamkuta mtu anaendesha Passo (BVR) huku kafungua vioo kisa anabana mafuta, kwenye foleni kidogo na gari anazima kabisa ili mafuta yasiende daah!
Hivi Passo ya kutoka japan inaweza kuzidi milioni 2 Tsh kweli maana naona zimejaa barabarani kuliko hata bajaj. nini hasa sababu wandugu? au kuna sehemu watu wanacheza kamari ukishiNDWA ndo unapewa PASSO? au nyongeza ukinunua gari kubwa?
Passo ni ushuzi mtupu halafu eti CRDB wanatoa Passo 1 kwa mwezi wakati wenzao Airtel walikuwa wanatoa IST kila siku, acheni kudhalilisha wateja wenu nyie CRDB yaani katika gari zote mmeona Passo nayo gari tena Passo 1 kwa mwezi
Hivi Passo ya kutoka japan inaweza kuzidi milioni 2 Tsh kweli maana naona zimejaa barabarani kuliko hata bajaj. nini hasa sababu wandugu? au kuna sehemu watu wanacheza kamari ukishiNDWA ndo unapewa PASSO? au nyongeza ukinunua gari kubwa?
Mkuu wangu wa kazi anamiliki Passo yake swaaaaaafi na ukitaka mkosane we pitapita karibu na Passo yake utasikia mwanangu unataka univunjie vioo? Hahahahaaa