Passion lady

... Kitanda hakizai haramu!
Kama una wasiwasi, au unataka kupata uhakika mpeleke kwa mkemia mkuu wa serikali' mkapime DNA!

Itabidi make siku ya siku ndo unasikia anaibuka kutaka mgao lolest....
 
asante charming lady kwa kuliona hilo
mimi pia nilihisi kua tu ndugu coz tunafanana sana
kwa maelezo ya bi mkubwa ni kwamba mi mshua wangu
aliondoka kitambo akamuacha my mum na kitumbo na hajarudi
tena,na hili jina ni mshua alimwambia mama nikizaliwa aniite hivi
sasa moja kwa moja nahisi huyu watu8 ni my dady,na alipoondoka
kipindi hicho mama angu alipata taarifa kua alikua na mke daslam nae ni
mja mwepesi na ndio alienda huko,dad watu8 njoo useme kweli
si ulishakua gelfrendo anaitwa elizabeti chacha?huyo ndio mama angu na
mimi ndio bintiyo ulinipa jina la Passion Lady nikiwa tumboni!!
asante mungu hatimae nitamjua baba angu na ndugu zangu!!
ma mdogo Maeskron wala usimynd ni ujana ulikua unamsumbua baba!!
nawapenda ndugu zangu wote,mshua watu8 tunakusubiri kwa majibu
 
Last edited by a moderator:

nimekuja mama mwenye nyumba! Ni kweli nina taarifa za huyu mtoto wetu Passion Lady, mume wangu watu8 alimpenda sana mama yake lakini wazazi wake walikataa amuoe kisa alikuwa masikini kijijini ndipo akaondoka kwa kukosa penzi la moyo wake kuja kijiji kingine kuanza maisha ndipo katika kusaka wa kuupooza moyo wake akakutana na mimi tukaishi sote kwa tabu na raha na wazazi wetu wakaridhia penzi letu na mungu akatujalia watoto pia nao mwawafahamu charminglady, sweetlady, lady furahia na kijana anaitwa Daive S.M.... so Karibu sana kwenye familia mwanate mwingine Passion Lady, hawa woote ni wadogo zako!
 
Last edited by a moderator:

Woooh asante mumy kwa kutoa ufafanuzi make kulikuwa na utata sana. Sie watoto wa mr. watu8 hatuna roho za korosho, tunakukaribisha sanaaaaa Passion Lady dada yetu karibu sana katika familia ya mama measkron

Daddy watu8 kuja huku pia useme neno na roho zetu zitulie....
 
Last edited by a moderator:
Salamu nimezpata kaka Mr Rocky . Umenikumbusha viwanja vyetu pendwa. Nimemuachia B kila kiwanja.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…