Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 653
- 1,058
Sidhani kama anatarajia hilo!Mwacheni mh. Mtalajiwa Pascal Mayalla,hivi punde atakuwa RC wa mkoa mpya wa Lubondo /Chato
Wandugu,
Ujasiri wa kusema kuhusu uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi unaofanywa na JIWE:Mbabe kutoka Chato, anaejua kila kitu, asiekosolewa, ANAEWANIA urais wa milele ingawa hataishi milele, ambae hashuriki, aliyejaa majigambo hewa, anaelazimisha kupendwa; tutamwonea bure. Huyu Pascal Mayala wa sasa ni wazi hana. Labda angekuwa yule wa wakati wa (kipindi cha TV) KITIMOTO
Amesema "…..sisikii…...iiiiii…"PASCAL UKUJE HUKUU
Mayala nafikiri ni Mnyamwezi na sio kama Msukuma kama mimi wa Idukilo Kishapupaskali ni msukuma na hii ni awamu yao
Atakuja najua hajapata nafasi tu!Sijuwi Kama atakuja kweli uwiiiiiiiiiihanaogopa kupelekwa Zambiaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app