pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Siku hizi ukabila na ukanda ni nje nje awamu hii!Huu ukabila umeota mimi. Juzi Kati kulikuwa na usaili wa wathamini.
Moja ya swali ulikuwa unaulizwa ni wewe kabila gani mara unatoka mkoa gani.
Haya Mambo yanayoendelea sio ya kufumbia macho kabisa.
Taifa hili ni letu sote inapaswa kuishi Bila kujua wew kabila gani na Kanda ipi wa dhehebu gani.
Watu waache ujinga wao.