paskal mayala

 1. T

  Paskal Mayala mbona hudadavui kuhusu chuki hii inavyoenea utawala huu?

  Paskali fahamu kuwa hata kabla sijaamua kujiunga rasmi JF nimekuwa nikisoma sana nyuzi zako. Mara nyingi umekuwa ukianzisha nyuzi ambazo na mimi nakuwa nimezifikiri na hivyo unakuwa umeniwasilishia kwa hakika. Lakini sio zile nyuzi ambazo sometimes zinafanya usieleweke. Leo Paskali naona...
 2. muhubiri mpya

  Watawala wa Afrika wanazuia viongozi kuwa viongozi

  Naomba nianze kwa kuwasalimu, habari za wakati huu Kwa zaidi ya nusu muongo nimekuwa nikifuatilia mijadala ya huku ndani JF nimekuja kugundua kuwa Taiifa hili na Afrika kwa ujumla tuna hazina kubwa ambayo hatuitumii kabisa Naomba nianze kwa kusema kuna tofauti kubwa ya mtawala na kiongozi...
 3. Sanyambila

  Timu za taifa ni za Dar Es Salaam sio za watanzania wote? onesheni mpira na wa vijijini waone

  Habari zenu wananchi wenzangu. Nianze kwa kusema nasikitishwa saana na uongozi Wa Mpira kwa kuto tumia TELEVISION YA TAIFA inayo patikana Karibu ving'amuzi vyote katika maonyesho ya MPIRA HASA TIMU ZA TAIFA, Waoo wamempa Azam , siyo kila mtanzania anauwezo Wa kununua king'umuzi hiki na...
Top Bottom