Natafuta pasewadi ya software hiyo ijulikanayo kama Perfect Optimizer 4 ,kuna mtu yeyote anayo ? nasikia hiyo software ni safi sana ,kwa yeyote aliyonayo aniwekee hapa au atuwekee hapa.
Wengine tunaenda katika huu ulimwengu kidezo dezo tu ,kama mnavyojua CCM ikiondoka madarakani ndio mwisho wetu kuonekana hapa 😀
Natafuta pasewadi ya software hiyo ijulikanayo kama Perfect Optimizer 4 ,kuna mtu yeyote anayo ? nasikia hiyo software ni safi sana ,kwa yeyote aliyonayo aniwekee hapa au atuwekee hapa.
Wengine tunaenda katika huu ulimwengu kidezo dezo tu ,kama mnavyojua CCM ikiondoka madarakani ndio mwisho wetu kuonekana hapa 😀
Why waste your time on Perfect Optimizer. Ccleaner is just as good or is better than that. Ccleaner is freeware
http://www.ccleaner.com/download
Au tafuta Norton 360 ina mambo yote hayo... Na hata ukitaka ya bure unaweza kuipata... tena kwa kurejista kwa matumizi ya miaka mpaka 3.
Hamna kitu Ccleaner haifui dafu kwenye Perfect optimizer wanasema hii Optimizer ina kama kajiuchawi ndani yake ,ukiijaribu tu inakupa makosa si chini ya miambili na sitini (269)+ ,hao akina Ccleaner,Registry Mechanic,Shampoo na yule UniBlue ni wabangaizaji tu na zaidi watakufutia na kukubadilishia juu chini unaona unatengeza kumbe unatengenezwa ,ila hiyo nimeona inakaukweli cha kauchawi si unajua waTz kwa juju mpaka bungeni ,hivyo ukitajiwa mambo ya uchawi uchawi unaona hapo ndio penyewe kama haitoshi wameongeza kuwa ina miracke yaani wamekwenda mbali sana ,sasa ndio nataka nione hayo waliyoyasema maana Pc yangu haina tofauti na gari za shamba bodi mjapani injini mjerumani sukani marekani ,ni spana mkononi.
Ndio ukaona hizo karakana zote ninazo na hata ukitumia moja baada ya nyingine kwa kutumai hakutaonekana makosa kila moja inakuja na yake ,yaani zote zinafanya kazi moja tamaa kwamba moja itakwambia sasa mambo swafi......haya jaribu nyengine itakwambia hujafanya kitu kuna turpet zinapiga kelele ,ndo saa ingine huona ni biashara tu wajinga ndio waliwao ,hivyo nimeamua hakuna haja ya kununua madudu haya ni kuyatafuta tu humu humu kwenye mtandao ,mi nikipata nitawawekea hapa. Nimejaribu ile vuzi haijaweza kuipata sasa huenda nikatumia japo nitaondoka na virusi.
Nimekuelwa bro! Jaribu kutafuta hapaMininova : The ultimate BitTorrent source!
Kama ikikataa basi gonga hapa: hapaMininova : The ultimate BitTorrent source!
umeshachangia JF?Mwiba uwe smart kidogo na jali kazi za wenzako nunua hiyo bidhaa kama umeona ni nzuri bei ni ndogo tu kuliko kuomba licence ambazo sio legal ukipata tatizo tokana na hiyo software itakuwa mshike mshike unaweza hata kutumiwa virus wewe ukapoteza mamilioni shauri zako
Nimejaribu na kuiona ndio nimo kazini unajua tena tunatumia dial up pengine ikachukua siku nzima.
Perfect Optimizer v4.0 [ kentuckykiid ] : Software > Windows - Other - Mininova