Paschal Cassian katoa nyimbo ya Damu zinawalilia

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Ni paschal Cassian baada ya kutowa ule wimbo mtakamata wangapi,akatowa tena Freedom na sasa katowa Damu zinawalilia.pamoja ya kwamba amesema yupo hatarini ila hajakaa kimya.
 
Mwenyezi Ambariki Kwa Kuwasema wanaoonewa.
 
Back
Top Bottom