KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Anasema ingeanzia kwako angekuwa "now you are happy."Korona imefika now you are happy.
Lakini jamaa hakuwa na nia mbaya, alihoji tu uzalendo wako na kama wewe una akili timamu. Maana corona ni janga la dunia na wewe unaombea liikumbe Tz. Je huu ugonjwa unabagua CCM,Cuf au Act? Alafu kama raia mwema hizo tuhuma zote tunaomba uzithibitishe hasa za kula pesa za Mamvi n.k. kuhusu kutaka uteuzi ni hisia tu.Paschal nimeona tuhuma zako ukituhumu comment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi? Ulikula pesa kiasi gani za Lowassa 2010- 2015?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Shetani ni wale wote wanasapoti mauaji, utekaji na kuzuia uhuru wa wengine kukosoa viongozi wao na nakuhakikishia hautapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Achana na watu, deal na mambo yako.
Nakumbuka Rebecca ushawahi kusema kwamba mimi huwa sikupendagi. Ila ulinikosea sana maana nilikuwa hata sikufahamu kipindi hicho. Ila nilishakusame na siku hizi nakupenda sana tena upendo wa AGAPE.Paskali ni arrogant, you can sense this through his posts...ila wajamaa wengi wa kisukuma wako hivyo...
Hili battle sio kali kabisa ukilinganisha na battle la bibi na wale jamaa kuhusu khadith katika dini ya Allah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]
Haina sababu yakuifanya iwepo.
Bro is this SeriousNakumbuka Rebecca ushawahi kusema kwamba mimi huwa sikupendagi. Ila ulinikosea sana maana nilikuwa hata sikufahamu kipindi hicho. Ila nilishakusame na siku hizi nakupenda sana tena upendo wa AGAPE.
Cha kushangaza hapo ni kipi, au nawe zimekuruka?Huwa nashangaa sana mtu unatumia id fake umejificha kwenye keybord alafu una ropoka hovyo wakati huna ujasiri wowote hata wa kubeba jiwe kwenda nalo barabarani.
Huo ni ushamba tu wa baadhi yao, na sio wote. Hata humu JF wamo, ukifuatilia kwa makini utawatambua.Paskali ni arrogant, you can sense this through his posts...ila wajamaa wengi wa kisukuma wako hivyo...
Wampelekeni wale wakaizuie Korona basiShetani ndio baba wa magonjwa hilo halina ubishi.
Pinganeni kwa hoja wakuu!
Dah [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Paskali ni arrogant, you can sense this through his posts...ila wajamaa wengi wa kisukuma wako hivyo...
Mimi hapa kanipiga marufuku hatak nimquote, the issue was so small back thenHuyu mdogo wangu Rebecca alishawahi kunipa tuhuma kali kweli kwamba mimi namchukia kumbe wala hata Simuwazii mabaya. Lakini siku hizi naona kawa rafiki yangu kweli.
Kama alikukataza basi hata kutaja jina lake hapa umefanya makosa. Lakini kama kweli ulimkosea basi muombe msamaha maisha yaende.Mimi hapa kanipiga marufuku hatak nimquote, the issue was so small back then
Sasa nazidi kuon ni watu weng yuko nao same way
Mbaya ni kwamba I started to love her [emoji28]
Rebeca 83
huyu jamaa kabla ya hii serikali ya awamu ya tano nilikuwa namuelewa sana kwa hoja zake na michango yake humu JF,lakini kaja kugeuka ghafla na amemjulua Magu kwamba ili akusogeze karibu shurti uwe una msifia na yeye anafanya hivyo hata kwenye mabaya anasifia tu.Uteuzi utaupata kwa hii bidii anayoionyesha,tangu alipoitwa kwenye kamati ya bunge kule Dodoma amebadilika haswa.Ukabila ndio unamtesa pascaliiiii yaani kisa tu usukuma