Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?


Majibu.
Mwenye nyuzi nyingi sana = Mshana Jr.
Nyuzi zinazosomwa sana =Pascal Mayala.
Anayependa kufungua nyuzi = Mshana Jr.
Anayependa kupest nyuzi kwenye nyuzi za wenzake= Wote wametoka sare.
Anayeongoza kutumia emoji = Mshana Jr.
Kitambi = hapa naachia wengine.
 
Bro Mshana Jr huyu Ni legendary ambaye hata akigombea ubunge au urais kupitia CHAUMA anapita mchana kweupee coz anakubalika na vijana ambao ndo majority ya population ya Tz.
Sina uhakika na umri wake ila kutokana na nyuzi na uchangiaji wake majukwaa tofaut tofaut inaonekana Ni Rika letu majanki.

Bro Pascal Mayalla huyu Ni typical mwanasiasa ambapo ana mrengo wa kijani.
Amekuwa Kama kinyonga ambaye hubbadilika badilika kutokana na mazingira.
Tangu nzi wa kijani waanze kumshughulikia baada ya maswali yake kwa mtukufu na kwa serikali yake Bwana huyu amekuwa akiegemea zaidi upande wa kijani na kusahau ethics za taaluma yake. Kutokana na kuegemea kwake upande was kijani Bwana huyu anapoteza mvuto kwa kuwa ipo dhahiri nzi wa kijani na yeyote anayewaunga mkono Ni adui wa Watanzania walio wengi.

Mwisho kabisa Kura inaenda kwa Homeboy Mshana Jr , popote ulipo kachukue Pierre Bar yoyote bill kwangu
 
Kuna mmoja anaandika kulingana na inshu zinazotrend kwa kipindi husika.
Mmoja nyuzi zake ziko mbele Sana na nyuma Sana anafikiria sana

Kura yangu Nampa mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hayo maswali yako mawili ya mwisho unamsema Mshana Jr.
 
Siyo bora kujadili mtu. Little minds discuss people. Jadili hoja ya mtu. Katika hoja fulani inayojadiliwa, utaishia kukubaliana na fulani, na katika hoja nyingine labda yule mwingine ndiye utakubaliana naye. Hicho ndicho kinachohitajika katika jukwaa hili. Siyo kusema kwa ujumla fulani ni zaidi. Utakumbuka hata Mwalimu Nyerere, katika kuwachambua wagombea wa Urais mwaka 1995, alisema kama unamuona fulani ni mzuri, basi mchukue ukanywe chai naye.
 
Ni ujinga kukaa na kujadili watu jua hata wewe nyuzi zako zinaweza kusomwa kama zao au zaidi ili mradi uandike vitu vinavyowagusa watu
 
P. Mayalla amekaa kiumbeyaumbeya, kujikoshakosha! Msukuma ni shidaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Mshana Jr ni Taasisi

Tafuta mtu mwingine mmoja wa kumlinganisha na Pascal labda Lara 1,Nyani Ngabu,Kiranga,The Boss nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…