Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,926
Reaction score
4,110
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nionacho siku hizi muna mmoja wapo kaingia katika jukwaa ambalo mwingine alikuwapo. Ila hajaja na staili yake ya uandishi bali anakopi staili ya mwenzake aliyemkuta hivyo ukija kichwa kichwa unaweza sema ndio yulewa awali kumbe ni huyu wa sasa.
 
Wakuu poleni na janga la Covid-19. Naamni mnaenda kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na wataalamu wetu wa afya,bila kusahau kuendelea kufanya yale maombi ya siku 3.

Leo wakati naperuzi zangu jamiiforum nikawa nasoma post mbalimbali za watu lakini nikavutiwa na maandiko ya hawa jamaa wawili Mayalla na Mshana Jr. Ni dhahiri nyuzi zao ndo zinaongozwa kwa kusomwa na watu. Nikaona si vibaya km tumkitafta Tanzania one (T.O) wa Jamii Forum kwa kuwapambanisha hawa malegendari. Je nani zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
 
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.
 
wote ni wazee wenye michango muhimu sana hapa na kila mmoja ana upekee wake,
mshana (mlevi,mlozi) amejikita huko kwenye mambo hayo pamoja na maswala mbalimbali ya jamii huku pascal akiwa ni mtu wa mambo ya siasa
mwisho kabisa napenda niwapongeze wote wawili kwa michango yao.
ZAIRE
 
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
uhusiano wa wana JF na pascal mayala. umenikumbusha story ya mobutu na wananchi wake wakati akiwa mwandishi wa habari
alikua akiandika habari za kuiponda serikali anasifiwa sana na kuitwa shujaa,kesho akiandika habari ya kusifu baadhi ya mambo huku akikemea mengine wananchi wanamuita msaliti
 
Wote hao ni mahiri kwenye maandiko yao . Ni wanafki kidogo linapikuja maswala ya ukada na ukamanda. Lakini ni watu muhimu sana humu , hakuna wa kusema huyu ni zaidi ya mwingine. Kwani pia uandishi wao umeegemea aina tofauti za story

Odhis *
 
Pascal Mayalla ni mmoja wa anayetumia kalamu yake kuishi though naye tutampoteza any day maana anaguza nyeti za wadosi.

Mshana Jr ni like nabii ambao Corona imewaumbua, he is there sasa kaanza kusoma vidole, ni kama wateja wamepungua sana as everyone kajifungia kwake.

Nani ni zaidi ,

Namtaja Mshana Jr ni zaidi sana maana alishasema alimtia dead person,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo binadamu hawafananishwi, hafu jua kuwa Paschal ni kada mtiifu wa CCM na mtia nia ya Ubunge ambaye jina lake litakatwa, Mshana ni kijana wa makamo ambaye huleta hoja nyingi fikilishi ziwe za ulozi, mapenzi, Siasa, uchumi nk.Paschal amejiegemeza zaidi kutetea watawala wa awamu hii
Nadhani Pasco huwa humuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu naona Kila mmoja kwa nafasi yake anafanya vizuri sana..
Tuwapongeze kwa hilo.
Mshana Jr ni kilaka yupo majukwaa yote,hata kwenye lile jukwaa pendwa unamkuta anavyoserebuka,
Pascal Mayalla vivyo hivyo kwa huyu mkuu,japo yeye huwa hachagii kwenye majukwaa mengine ila ukipita hukosi kukuta likes zake huko..
Kuna uzi mmoja alielezea mambo ya the hounted house unapata picha kwamba naye kwenye mambo ya kiroho yupo murua..

Mwisho kongole ziende kwa mshana kwani kanifunza vile inatakiwa kuongea kwenye simu.
 
Kwa hiyo unawapambanisha kwenye nini haswa?
Mtu ambaye ana nyuzi nyingi?
Mtu ambaye nyuzi zake zinasomwa sana?
Mtu ambaye anapenda kufungua nyuzi tuu?
Mtu ambaye anaongoza kwa kupest nyuzi zake kwenye nyuzi za wenzake.?
Mtu ambaye anaongoza kwa kutumia emoji sana?
Mtu ambaye ana kitambi kumzidi mwenzake?
Kuwa wazi tujue.

Umenishinda tabia.
 
Back
Top Bottom