Pascal Mayalla: Mkono vipi?

Status
Not open for further replies.

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
nimekua nikimuona mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu Pascal Mayalla akiendesha vipindi vyake, right now yupo hewani anaendesha kipindi cha Nane Nane.
lakini mara zote nikimuonaga kwenye luninga namuona mkono wa kushoto always upo mkononi,
naomba kujua ana matatizo gani legendary huyu??
 
Tusidiscuss mtu yukoje, hili si lengo la awali la JF, tujadili hoja anazoleta mtu.
Hata kama ni jukwaa la celebrities, tunachoongelea ni athari za tabia zake na anavyoitumia 'fame' yake ndani ya jamii.
Tusijadili hii maneno, naamini sisi ni GTs!
 
watu wengine ni VILAZA sana, mi nimekwambia namwona kwenye tv hapa wewe unasema nimfuate aliko ili iweje?
kama hujui kitu funga bakuli lako.
huyu ni mtu maarufu, kuna ubaya kujua ana tatizo gani?.
kama huna cha kujadili kaa kimya
 
nimekua nikimuona mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu Pascal Mayalla akiendesha vipindi vyake, right now yupo hewani anaendesha kipindi cha Nane Nane.
lakini mara zote nikimuonaga kwenye luninga namuona mkono wa kushoto always upo mkononi,
naomba kujua ana matatizo gani legendary huyu??

Samahani lakini hapo sijaelewa,samahani lakini.
 
Crappy stuff! Kuna mtangazaji wa kike wa TBC1 ana miguu minene, sijui ana matende? Afu kuna mwingine mweupeee, sijui ana asili ya uzeruzeru?

Kuna kilaza zaidi yako mkuu, great thinker?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom