Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,499
- 9,527
Njaa za uzeeni shidaWakuu, maandiko ya Pascal Mayalla hivi karibuni yanafanya nimtilie shaka, ni kama mtu aliyetengwa na anajaribu kujisogeza karibu na waliomtenga lakini wapi.
Napendekeza asaidiwe haraka iwezekanavyo.
P.
nani kamtenga? Lini alikuwa ndani?ama mtu aliyetengwa na anajaribu kujisogeza karibu na waliomtenga lakini wapi.
hongera mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya nchini kwa kukunusuru gentleman, bila hivyo tungekukosa aise πWakuu, maandiko ya Pascal Mayalla hivi karibuni yanafanya nimtilie shaka, ni kama mtu aliyetengwa na anajaribu kujisogeza karibu na waliomtenga lakini wapi.
Napendekeza asaidiwe haraka iwezekanavyo.
P.
Hahahaahaaa. Njaa mbaya sana, tuipige vita.Moyo wake haupendi haya yanayoendelea mkuu lakini na hela anazitaka...afanyaje sasa.Hata Mimi ningekuwa hivyohivyo tu
Paskali ana ngata na kupulizaga πNinacho kiona humu, wengi hamna ujuzi wa kusoma between the lines, ndio maana mada za Paskali zinawatatiza kama sio kutozielewa kabisa.
Mfano, Kuna mada kaiandika nadhani juzi kama sio Jana, ukisoma comments za wachangiaji wengi, unabaini kuwa wameshindwa kabisa kung'amua alichomaanisha au kusudia katika ujumbe wake.
Kwahiyo wewe ndio unaelewa sio?Ninacho kiona humu, wengi hamna ujuzi wa kusoma between the lines, ndio maana mada za Paskali zinawatatiza kama sio kutozielewa kabisa.
Mfano, Kuna mada kaiandika nadhani juzi kama sio Jana, ukisoma comments za wachangiaji wengi, unabaini kuwa wameshindwa kabisa kung'amua alichomaanisha au kusudia katika ujumbe wake.
Naam.Paskali ana ngata na kupulizaga π
Ova
Watu wanasoma juu juu tu! Hahah.Paskali ana ngata na kupulizaga π
Ova