Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,050
- 79,392
- Thread starter
- #101
Napenda mtu anaesema ukweli km ulivyo bila kupindisha pindisha maneno, sema km ilivyo usipindishe sana maneno kupindisha maneno sio. Jambo lenye kuleta afya, wewe mfano ulitaka mkuu Pascal afanye nini amsifie Mwigulu kwamba Mwigulu kukosoa kupigiwa sana makofi na kushangiliwa kwa viongozi wastaafu alikua yupo sahihi na haikumuuma yeye kutokushangiliwa sana, ulitaka Pascal aseme uongo ambao wengi wanajua alichosema ni ukweli
Ni sawa