Pascal Mayalla, hakunaga National Sovereignty kwenye kutenda uhalifu!

Yaani kama Nchi watu wake wanalalamika na wanahofu,jirani anaingilia na watu Wako wanamshangilia jirani Kwa Tabasamu KUBWA!Bado kina Lukas mwashambwa na tlahtlah nao wanasema Tusingiliwe duh!Sipati picha hii!
 
Hamjambo!

Mkuu Pascal Mayalla Kwa heshima yako. Ni muhimu kujua japokuwa najua unajua kuwa hakunaga national sovereign kwenye kutenda Uhalifu.

Wale wafuasi wa sijui nchi huru, lazima wajue ni Uhuru katika haki na utu.
Kinyume na hapo utaingiliwa utake usitake.

Kama vile serikali inavyoweza kuingilia familia yako pale ambapo Baba au mama au mtoto anapotenda uhalifu. Ndivyo hivyohivyo nayo inaweza kuingiliwa inapofanya dhulma, uhalifu, na kuonea watu wake.

Haiwezekani wewe Pascal kama Baba umpige mkeo, umuonee, uwaumize watoto wako alafu ujitambe hapa uko huru, sijui familia yako hutaki Sisi tukuingilie tutakuingilia tuu.

Tena mkeo na watoto wataungana na watu wanje kukunyorosha, kukushikisha adabu.

Pascal Mayalla unataka usiingiliwe na familia zingine mtendee haki mkeo na watoto wako. Full stop.

Hao watoto wako sio magari, midoli, au mbuzi kwamba unaweza kuwachinja muda wowote unaotaka.

Serikali yoyote kama haihitaji kuingiliwa itende haki. Kama inavyojipa umuhimu kuingilia wananchi wahalifu ndivyo nayo ikifanya uhalifu itaingiliwa vilevile.

Kwako Pascal Mayalla na watu wenye mitazamo ya namna hiyo.

Karibuni kwa mjadala
Paskali jitetee!!
 
Wanafahamu sana wanajitoa ufahamu tu… hiyo ndio narrative wajinga waCCM wameona waiuze.

Wenyewe tumecompliy na sheria za kimataifa za haki za binadamu, tujiondoe kwanza kwenye mikataba yote ya international laws ili tupate uhuru wa kuua “raia wetu wenyewe” bila kubughudhiwa.

Takataka hawa watu 🚮

Inasikitisha Sana kuona mtu kama Pascal msomi wa Sheria na mwandishi wa habari, taaluma ambazo zinahusiana moja kwa moja na mambo ya uhuru, utu na haki za watu
 
Hamjambo!

Mkuu Pascal Mayalla Kwa heshima yako. Ni muhimu kujua japokuwa najua unajua kuwa hakunaga national sovereign kwenye kutenda Uhalifu.

Wale wafuasi wa sijui nchi huru, lazima wajue ni Uhuru katika haki na utu.
Kinyume na hapo utaingiliwa utake usitake.

Kama vile serikali inavyoweza kuingilia familia yako pale ambapo Baba au mama au mtoto anapotenda uhalifu. Ndivyo hivyohivyo nayo inaweza kuingiliwa inapofanya dhulma, uhalifu, na kuonea watu wake.

Haiwezekani wewe Pascal kama Baba umpige mkeo, umuonee, uwaumize watoto wako alafu ujitambe hapa uko huru, sijui familia yako hutaki Sisi tukuingilie tutakuingilia tuu.

Tena mkeo na watoto wataungana na watu wanje kukunyorosha, kukushikisha adabu.

Pascal Mayalla unataka usiingiliwe na familia zingine mtendee haki mkeo na watoto wako. Full stop.

Hao watoto wako sio magari, midoli, au mbuzi kwamba unaweza kuwachinja muda wowote unaotaka.

Serikali yoyote kama haihitaji kuingiliwa itende haki. Kama inavyojipa umuhimu kuingilia wananchi wahalifu ndivyo nayo ikifanya uhalifu itaingiliwa vilevile.

Kwako Pascal Mayalla na watu wenye mitazamo ya namna hiyo.

Karibuni kwa mjadala
Pascal kaka yangu hapa alikosea. Pamoja na watu kuuliwa wazazi watoto na ndugu zao wakati na baada ya uchaguzi anaongea nini ? Tutasema, tutalalamika, tutalaani mpaka haki ipatikane
 
Mkuu hongera sana kwa andiko zuri,Uhuru binafsi in matokeo ya kutenda haki.kama hutendi haki utaingiliwa tu.hata kama ni chumbani kwako mkeo apige kelele unaua tutaingia tu.Tanzania kama hatutaki kuingiliwa tutende haki.
 
Hamjambo!

Mkuu Pascal Mayalla Kwa heshima yako. Ni muhimu kujua japokuwa najua unajua kuwa hakunaga national sovereign kwenye kutenda Uhalifu.

Wale wafuasi wa sijui nchi huru, lazima wajue ni Uhuru katika haki na utu.
Kinyume na hapo utaingiliwa utake usitake.

Kama vile serikali inavyoweza kuingilia familia yako pale ambapo Baba au mama au mtoto anapotenda uhalifu. Ndivyo hivyohivyo nayo inaweza kuingiliwa inapofanya dhulma, uhalifu, na kuonea watu wake.

Haiwezekani wewe Pascal kama Baba umpige mkeo, umuonee, uwaumize watoto wako alafu ujitambe hapa uko huru, sijui familia yako hutaki Sisi tukuingilie tutakuingilia tuu.

Tena mkeo na watoto wataungana na watu wanje kukunyorosha, kukushikisha adabu.

Pascal Mayalla unataka usiingiliwe na familia zingine mtendee haki mkeo na watoto wako. Full stop.

Hao watoto wako sio magari, midoli, au mbuzi kwamba unaweza kuwachinja muda wowote unaotaka.

Serikali yoyote kama haihitaji kuingiliwa itende haki. Kama inavyojipa umuhimu kuingilia wananchi wahalifu ndivyo nayo ikifanya uhalifu itaingiliwa vilevile.

Kwako Pascal Mayalla na watu wenye mitazamo ya namna hiyo.

Karibuni kwa mjadala
Ujumbe huu uwafikie Chawa hawa👇👇 wenye mitazamo kama ya Pascal Mayalla
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
Stroke
Dr wa Manesi
Yericko Nyerere and the likes
 
Back
Top Bottom