Gh'ana Mayala unafikra komavu mzee wee nenda...umekuwepo hapa jamvini for a long time...iwakilishe vyema jamii forum na wengine tutakutambua mbunge wetu wa jamii forum...jitaidini kutoa mawazo ya kuisaidia jamii yetu na watu wake ili tuendelee kusogea kimaendeleo...sitegemei kukuona ukiegemea zaidi agenda za ki vyama mtu kama wewe...all the best broNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla