Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 Oct 22, 2023 #21 Serikali imuone na mzee wetu Paschall. Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand...
Serikali imuone na mzee wetu Paschall. Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand...
Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,281 Reaction score 7,061 Oct 22, 2023 Thread starter #22 Msanii said: Umefahamuje hayo? Hizi IDs hizi loh Click to expand... IDs zina nini? Hujui kuwa sisi ni binadamu?
Msanii said: Umefahamuje hayo? Hizi IDs hizi loh Click to expand... IDs zina nini? Hujui kuwa sisi ni binadamu?
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,447 Reaction score 5,447 Oct 22, 2023 #23 Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... Hapo UDOM bora wangekuwa chawa. Pale wamejaa kunguni. Ukilala tu wanaanza kazi yao hadi usingizi unapotea kabisa.
Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... Hapo UDOM bora wangekuwa chawa. Pale wamejaa kunguni. Ukilala tu wanaanza kazi yao hadi usingizi unapotea kabisa.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,403 Oct 22, 2023 #24 The Boss said: Nyinyi bado hamumjui vizuri paschal... Sio low level hizo mnazofikiri Click to expand... Mayalla aligombea Ubunge awamu ya 5 iliyokuwa Dominated na Wasukuma alijua atachaguliwa then akaambulia kuitwa "Njaa"
The Boss said: Nyinyi bado hamumjui vizuri paschal... Sio low level hizo mnazofikiri Click to expand... Mayalla aligombea Ubunge awamu ya 5 iliyokuwa Dominated na Wasukuma alijua atachaguliwa then akaambulia kuitwa "Njaa"
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,610 Oct 22, 2023 #25 imhotep said: Mayalla aligombea Ubunge awamu ya 5 iliyokuwa Dominated na Wasukuma alijua atachaguliwa then akaambulia kuitwa "Njaa" Click to expand... Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli
imhotep said: Mayalla aligombea Ubunge awamu ya 5 iliyokuwa Dominated na Wasukuma alijua atachaguliwa then akaambulia kuitwa "Njaa" Click to expand... Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli
P Profile Senior Member Joined Jan 25, 2023 Posts 143 Reaction score 331 Oct 22, 2023 #26 Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Kama ni kweli basi ni usukuma wake ndo umempelekea kufanya hivyo.
Nyankurungu2020 said: Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote . Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe . Click to expand... Kama ni kweli basi ni usukuma wake ndo umempelekea kufanya hivyo.
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Oct 22, 2023 #27 The Boss said: Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli Click to expand... Bahati mbaya wengi hawamsomi between the line Pasco. Pasco haitaji kujipendekeza Serikalini.
The Boss said: Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli Click to expand... Bahati mbaya wengi hawamsomi between the line Pasco. Pasco haitaji kujipendekeza Serikalini.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,403 Oct 22, 2023 #28 The Boss said: Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Nchi hii kila Msukuma ni Usalama wa CCM?
The Boss said: Sio kila anae enda kugombea..anagombea kweli Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Nchi hii kila Msukuma ni Usalama wa CCM?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,968 Reaction score 23,980 Oct 22, 2023 #29 Nasubiriiii neno lake kwanza....moral authority?
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,639 Reaction score 21,837 Oct 22, 2023 #30 Lukasi mwashamba ,abadilishe mbinu
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,963 Reaction score 75,030 Oct 22, 2023 #31 Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Kuna Lucas Mwashambwa,huyu mshamba anakesha humu kumsifia Samia lakini anapishana na teuzi masikini
Boss la DP World said: Pascal Mayalla ndo chawa mwenye maumivu makali kuliko wote. Click to expand... Kuna Lucas Mwashambwa,huyu mshamba anakesha humu kumsifia Samia lakini anapishana na teuzi masikini
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,802 Oct 22, 2023 #32 Ilikua lazima kudaiveti suala la kusaini mikataba ya dp world kwend asehemu nyingine... Kama kawaida wale wengi ambao ni wapinzani na anti jpm wamesahau hoja yao ya dp world sasa wako bize na makonda... Very easy kucheza na mentality za wabongo...!!
Ilikua lazima kudaiveti suala la kusaini mikataba ya dp world kwend asehemu nyingine... Kama kawaida wale wengi ambao ni wapinzani na anti jpm wamesahau hoja yao ya dp world sasa wako bize na makonda... Very easy kucheza na mentality za wabongo...!!
Ghosryder JF-Expert Member Joined Jul 6, 2014 Posts 10,708 Reaction score 4,576 Oct 22, 2023 #33 imhotep said: Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki. Click to expand... Unateseka ukiwa wapi?? Ha ha ha ha na bado
imhotep said: Mayalla ni kipimo cha Uidiot wa Wasomi wa Tanzania katika kuendekeza Ukabila. Pongezi zote hizo na kusifia sifia Msukuma mwenzake mwenye vyeti feki. Click to expand... Unateseka ukiwa wapi?? Ha ha ha ha na bado
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,733 Reaction score 27,094 Oct 22, 2023 #34 yani chadema itapelekwa mchakamchaka sipati picha walah
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,963 Reaction score 75,030 Oct 22, 2023 #35 Dr hyperkid said: yani chadema itapelekwa mchakamchaka sipati picha walah Click to expand... Ampeleke mchakamchaka mkewe aliyeshindwa kumtia mimba hadi kwenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara.
Dr hyperkid said: yani chadema itapelekwa mchakamchaka sipati picha walah Click to expand... Ampeleke mchakamchaka mkewe aliyeshindwa kumtia mimba hadi kwenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,656 Oct 22, 2023 #36 Nyankurungu2020 said: IDs zina nini? Hujui kuwa sisi ni binadamu? Click to expand... Hongera mkuu
Mizania JF-Expert Member Joined May 17, 2023 Posts 3,811 Reaction score 3,285 Oct 22, 2023 #37 SAGAI GALGANO said: Ampeleke mchakamchaka mkewe aliyeshindwa kumtia mimba hadi kwenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara. Click to expand... 🤣🤣🤣!
SAGAI GALGANO said: Ampeleke mchakamchaka mkewe aliyeshindwa kumtia mimba hadi kwenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe zikarutubishwe kwenye maabara. Click to expand... 🤣🤣🤣!
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,635 Oct 22, 2023 #38 Kama ambavyo ilinenwa ya kuwa waache wafu wakawazike wafu wenzao vivyo hivyo waache vilaza wakawapongeze vilaza wenzao
Kama ambavyo ilinenwa ya kuwa waache wafu wakawazike wafu wenzao vivyo hivyo waache vilaza wakawapongeze vilaza wenzao
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,270 Reaction score 10,262 Oct 22, 2023 #39 Siddo said: Sabaya nae yuko jikoni..Ni suala la muda tu. Click to expand... Viroba kuonekana baharini kwa kasi kuko njiani.
Siddo said: Sabaya nae yuko jikoni..Ni suala la muda tu. Click to expand... Viroba kuonekana baharini kwa kasi kuko njiani.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,738 Reaction score 22,487 Oct 22, 2023 #40 Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... 'kujikomba' siyo.. kiswahili Cha tabora, shinyanga,mwanza
Kennedy said: Ameanza Kujikomba Na Kutafuta Connection, Chawa Ni Wengi Kama UDOM Click to expand... 'kujikomba' siyo.. kiswahili Cha tabora, shinyanga,mwanza