Pasaka yangu imekuwa njema...

ai ai ai wewe ni nomaaaa...
chote kile?
kimeisha?
kimeisha ishaje?
:)
Afu iangalie vizuri hiyo sahani ya plastiki, niliomba maalum kwa ajili yangu kwa kuwa ina kishimo katikati. Nipunje mshahara, sio chakula...
 
duh, basi kweli huku tunakula, yaani huu msosi kidogo hivyo mnashangaa mtu mmoja kumaliza??

Sasa mnapataje nguvu za kufanya kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom