Pasaka yangu imekuwa njema...

Pasaka yangu imekuwa njema...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Pasaka.jpg​
Pasaka yangu kama inavyojeleza hapo juu jamani. Makuu sina kijana mie, chakula mwakiona na kinywaji ndi hicho hapo. Vyote 'Made in Tanzania', mpaka sahani na kijiko ninavyolia. Page ya JamiiForums kwa mbaali kunako background...
This time...
Asiye na mwana aeleke jiwe!
​
 
msosi wote huo unakula wewe? Utamaliza? Duuuuuuuuhhhhhhhhhh
 
mbona naona kuna ndege hata bado hajanyonyolewa hapo?
 
msosi wote huo unakula wewe? Utamaliza? Duuuuuuuuhhhhhhhhhh

Mbona kidogo sana huu mrembo? Off course (lafudhi ya kihaya) huu ni accurately pakuliwerd specially for Mphamvu.
 
Aiiiiiiiiii nilitaka nikualike jumatatu ya pasaka nimeahirisha, nahisi utanilaza njaa.......


Mbona kidogo sana huu mrembo? Off course (lafudhi ya kihaya) huu ni accurately pakuliwerd specially for Mphamvu.
 
Ila usifanye uzinzi leo guest zimejaa mapema
 
Ahahahaaiaiaiaiaiaia! Kudadadeki, yote umefuta mkuu, big up.
 
Hongera mkuu,raha jipe mwenyewe bana maisha yenyewe yako wapi bana!
 
Back
Top Bottom