Pasaka kwangu bwana, ilikuwa hivi

Pasaka kwangu bwana, ilikuwa hivi

Huku Chigoma, tulihose.....
Ebhana, tatizo migazi ya babu yako kule kibirizi ndio imeliwa na wadudu sana, na sina uhakika kama mwaka huu atavuna michikichi ya kutosha mawese kama ilivyokua mwaka jana.
Vipi ile mihigo kule Kasangezi imepona?
Maana rafiki yangu Wa Mnanila ameniambia kule imenyesha mvua ya upepo na mawe
 
Mm nipo tayari kuja kuchukua sampuli ya kinyesi chako na nikakipima sanjari na tigo yako ili kujua ulikula chakula cha aina gani na niweze kukufundisha namna ya kupika.
 
Kwa hizo sifa Siku nikishuka tu pale ubungo ntakamata boda moja kwa moja mpaka kwenye biriani sipendagi kusimuliwa vitu na watu wa Dar lazima nikapige sahani moja ya kutolea ushuhuda.
 
Hiyo harufu ambayo huitambui ni ya MARIAM BIRIANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom