Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

We mdudu unaandika utumbo gani tena hapa?
Hivi kwanini wagalatia mnakuwa vichwa kamasi namna hii?
Hebu jisome kidogo hapo juu halafu jiulize je! Kulikowa na haja ya kupoteza wakati wako na wetu kuandika huu Uharo hapa?

Duh.... nyie watu hata mashudu ya faida kuliko mtu ka wewe.
Hivi nyie waislam kwanini mnakuwa watumwa??? Kwanini hamtaki kujielewa na hampendi kukubali ukweli????
 
Manake Quraan imeandikwa Kiha.
We akili kiroboto kalale.
Hapa sio kilabuni.
Kambaff wahed
Ulivyokuwa boya unaendelea kumaanisha eti quran imeandikwa kiarabu haaaaaaa,kweli ww nyumbu kweli kweli,Angalia historia ww nyumbu mohamed mwenyewe alikuwa hajui kiarabu,sasa alishushiwaje kwa kiarabu!!!unajifanya mjuaji na wakati haujui kitu,wewe ni kafili mtumwa
 
Bi mkubwa naona Sharwala yako Inakuwasha.
Mi sina mpango na mapashkuna.
Unachoandika hapa ni dalili zote za ashk.

So long deepstick
 
Nimefanya Research ya kusoma Vitabu vya historia Na encyclopedia
Weka vitabu ulivyosoma hapa na wengine wahakiki.
Madai km haya wanaleta waganga wa kienyeji ili kufungisha midomo wagonjwa.
Msomi mara zote anaweka na ushahidi wa alichokisoma.
 
Weka vitabu ulivyosoma hapa na wengine wahakiki.
Madai km haya wanaleta waganga wa kienyeji ili kufungisha midomo wagonjwa.
Msomi mara zote anaweka na ushahidi wa alichokisoma.

Tafuta kitabu " All Scripture is Inspired of God and Is Beneficial "
Na "Insight on the Scriptures"
Tafuta Google alafu ukivipata nenda page ya Chronology Na page ya Jesus Christ
 
Maana ya pasaka ni ipi?
7bdf41664f86210a97cf7f119d025f7c.jpg
 
Pasaka ilifanywa na Wana Wa Israel walipokuwa wanataka kutoka Misri, waliambiwa wachinje na kisha wapake milango yao damu

Kisha wale nyama yote hadi iishe

Kiufupi Pasaka ni Pass Over
Hii Pass Over ilifanywa na Malaika aliekuwa akipita Misri na kuua wana wa Kwanza kwa kila nyumba ambayo haijapaka damu kwenye Mlango

Kama umepaka maana yake Malaika ataipita nyumba hiyo

Yaani Pass Over
 
Hii ilikua wakati ule je kwa Sasa pasaka ina maana ileile? Je iliwahusu wayahudi pekee n.a. wanna wa Israel?

Katika kanisa Catholics pasaka tunayoadhimisha Sasa ni kumbukumbu tu ya wokovu wa mwanadamu kiimani kwamba kwa kupitia mateso kifo cha aibu msalabani lakini has a kwa kufufuka kwake Yesu kristo tunapata kuitwa wakristo
Tunarejeshewa upatanisho n.a. Mungu uliopotea kupitia kwa wazazi wetu Adam n Eve
 
Back
Top Bottom