Partners: Kama una mtaji naomba tufanye hii biashara

hatari Sana elezea hiyo biashara kwa ufasaha Mzee mitaji ipo syo una rukaruka tu 😂😂 sema Kama hizo Dolla ukinunua bank kutoka USD to TSH tunapiga kiasi fulani au unauzaje huo mzgo 😂😂
 
Hiyo ni huduma ya payment kutoka Deriv ambapo unapewa uagent na hao Deriv halafu unawahudumia wateja kwa ajili ya kudeposit na kuwithdraw , , kwa haraka haraka hakuna risk Kama wengi tunavyoamin Ila risk kubwa ni kutapeliwa na yule unayemuhudumia ,

Yan ipo hivi Kama mtu anahitaji kudeposit Dola kwenye acc yake ya Deriv , anamchek agent , unamtumia hela kwa mpesa halafu agent atahamisha Dola kwenye acc yake
 
Ni online? Mm cjaelewa unaiendeshaje. Una bureau de change? Je, security ikoje? Manake unahitaji ma cctv, ulinzi nk. Au unatembeza kama mmachinga? This is a very high risky business
 
Ni online? Mm cjaelewa unaiendeshaje. Una bureau de change? Je, security ikoje? Manake unahitaji ma cctv, ulinzi nk. Au unatembeza kama mmachinga? This is a very high risky business
Hii biashara ni ya kawaida.

Ili uweke pesa Kwa broker unahitaji wakala kama wakala wa mpesa, online Kuna mawakala wanaokutumia mtandaooni hivyo Kila wakala ana Bei gake
 
Back
Top Bottom