MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
kuna kitu huwa kinawakuta sana watu mkuu slim5........hasa pale yale wanayoyategemea yanaposhindikana mbele ya watu wanaowaadimaya..........sijui ni aibu..............?, kutokuamini kuwa jambo lolote lina pande mbili(positive and negative side)...........wakati mwingine familia zetu hizi maskini ukionyesha njia basi ukoo mzima macho kwako hivyo unapotetereka unaona kama umeuangusha ukoo mzima.......inauma sanaaaaaaaaa.................POLE mkuu kwa kukosa nafasi UDSM................Mmmh! Ilikuwa ngumu kutrace, nilirudi pale baadae sana, baada kumaliza u'graduate arusha, sikuwa na muda, wala interests ram