Part time Job for University Students ( Natafuta Afisa mauzo Vyuoni)

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,526
PART TIME VACCANCY FOR COLLEGE STUDENTS DAR ES SALAAM

Direct Sales Staffs wa mabibo hostel Loundry Services

kama mjasiriamali nimeamua kuleta fursa kwa wanachuo wawili kila chuo dare s salaam ili wote mimi na nyinyi tuweze faidika kwa namna moja au nyingine.. kwa mimi kuongeza mauzo yangu na yeye kupata mbadala wa boom na kujifunza majukumu mapema.

Ninapenda kufanya kazi na vijana tofauti wachache ambao watasimamia upatikanaji wa wateja katika vyuo vyao na mitaa yao.. kukusanya nguo zao na kuziweka tag,.. kisha kulink na ofisi na kumkabidhi dereva bajaj / ofisi car jioni yake ambaye atakuwa anamfata direct sales agent kila siku jioni na atazileta ofisini kufuliwa na kesho yake kuzirudisha kwa sales agent.. ambaye yeye atazisambaza kwa wateja waliompatia hizo nguo hostel kwao / mtaani kwao


Natafuta direct sales officers 2 kila chuo dare s salaam jinsia zote me mmoja na ke mmoja

Sifa zake

Sales and marketing skills za hali ya juu hasa uwezo wa kujieleza na uwezo wa ku reach daily targets

High integrity ,Self motivated and results oriented, asiwe mtu wa excuse

Duties and responsibilities will be

-Apply marketing approach on campus and hostels kupata wateja wa kufua nguo

-Explain our laundry services to customers, and provide advices to customers regarding choice of services

-Finding new customers daily, collecting clothes from customers for pick up and distribute them to customer after delivery

Price list za wanachuo ni

1.jeans = 600/= 2. Shati / blauzi = 500/= 3. tisheti = 500/= 4. Suruali / sketi = 500/= 5. 6. shuka = 1000/= 7. taulo = 1000/=

GHARAMA HIZI ZIMEJUMLISHA MPAKA PICK UP NA DELIVERY FEE VYUONI



UTARATIBU WA HUDUMA NA UFUAJI
Utaratibu wa huduma kwa wanachuo hostels itakuwa direct sales staff anatafuta wateja wapya na anakusanya nguo za wanafunzi wenzake zinazotakiwa kufuliwa na kuziweka tag ili zisichanganywe muda wa kurudisha ijulikane nguo za mteja flani ni hizi hapa….. na kutoa taarifa mapema kabla ya saa 12 jioni.. jioni hiyo hiyo gari / bajaj ya laundry itazifata na kuzileta ofisini na subuhi ya siku inayofata zitafuliwa na kukaushwa.. na jioni yake /usiku zitarudishwa hostel kwa sales agent kasha yeye atazisambaza kwa wateja waliompatia

Utaratibu wa pili ni kwa wateja wa nje ya chuo wanaoishi mtaani near chuo.. direct sales staff atapitia nguo za wateja wake mtaani na kuziweka collection point ambapo bajaj / gari ya laundry itazifata jioni na kuzileta ofisini na kufuliwa na kukaushwa kesho yake.. na jioni yake bajaj / gari ya ofisi itazirudisha kwa sales agent kwake.. ambapo yeye atasambazia wateja wake

Daily Target ya Direct sales staff

50 pcs of clothes.. so utaandaa plan yako ya kupata nguo 50 kila siku… kama utapata wanafunzi wenzako 50 kila mmoja akakupa nguo moja chafu sawa… ama kama utapata wateja watano kila mmoja akakupa nguo chafu 10 ama ukapata mteja mmoja tu akakupa nguo zote 50 itakuwa juu yako.. ila target ni nguo 50 kufidia gharama za usafiri kufata na kurudisha nguo chuoni kwako baada ya kufuliwa.. sio nguo moja moja zifatwe kila saa

ama anaweza zikusanya kwa wiki nguo 50 x 7 ambazo ni sawa na nguo 350 kila wiki..
kila binadamu anavaa wastani wa nguo 2 kila siku mfano skirt na blauzi, jeans na tshirt au suruali na shati.. so nguo 50 ni sawa na wateja 25 kila siku.. katika maelfu ya wanafunzi waliopo chuoni kwako uwe na uwezo wa kuwa na clients not less than 25 people utafika target haraka.


Mshahara wa kuanzia ni Laki mbili tu a.k.a 200,000 kwa mwezi.. na utaamua mwenyewe ugawanywe ulipwe kila siku, kila wiki au kila mwezi.. ukiwa unapita target mshahara unapanda na bonus zipo

Nafasi ni 2 kwa kila chuo dar es salaam.. moja me na nyingine ke…


Maombi yatumwe shaurimbaya@gmail.com

Dobi Kitaani - Ubungo/Vituka (@udsm_loundry_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

Kuna kazi zingine ofisi inafanya.. unaweza ukafanya majukumu ya sales pia ukapata bonus yako nje ya huo mshahara wa loundry

kuna tshirt printing workshop

Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

Na pia kuna Photo studio ya kisasa for Models


Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
 
Utafelisha vijana wetu

ulaya mbona tunasoma huku tunafanya kazi tena ngumu kichizi. hii ya kumshawishi mwanafunzi mwenzako aliye na uwezo akupe nguo ziende dry cleaner na laundry unaifanya hata ukiwa cafeteria au kwenye vimbweta ... tuache kulea watoto vibaya...vijana wajifunze maisha mapema. hakuna cha bure duniani... na sales skills ndio kila kitu.. voda wamemtoa mmama kenya sababu anajua kuuza... hao wanaofua nguo ni wadogo zangu kabisa na wanafunzi mmoja udsm na mwingine nit... japo wanafua kwa mashine ila wanapata kipato na wana enjoy... na tshirt naprint mwenyewe nikisaidiana na vijana.. na hapo hapo nimeajiriwa sehemu nyeti... tujifunze kuwa multi task.

sio kitu kizuri kuona vijana wanaomba omba hela humu za ada au boom limekata wanalia lia kuomba elfu 10 humu ya kula.. wakati kuna kazi wanaweza wakafanya wakaongeza kipato chao na kupunguza mzigo kwa wazazi wao
 
wale wa Mzumbe SOPAM iyo bei kwa nguo hawatakuelewa hata uzungumze kimagufuli...kichuochuo ni kubwa sana.
 
wale wa Mzumbe SOPAM iyo bei kwa nguo hawatakuelewa hata uzungumze kimagufuli...kichuochuo ni kubwa sana.

nimesoma mzumbe pia.. kuna tofauti kubwa sana kati ya huduma ya kufuliwa na watu kama madege mzumbe na kufuliwa na dry cleaner.

udsm wengi ni familia za kawaida au maskini.. lakini njoo mabibo hostel uone nguo zao wanafua wapi..

pia usisahau kufanya cost benefit analysis...

mzumbe unamuita dege unampa hela ya sabuni, maji free ya chuo na bado unamlipa 200 au 300 kwa nguo enz hizo nasoma.. na proffessional laundry unayoipa 500 kwa nguo... maji yake, sabuni yake na risk ya kuibiwa nguo zako ni ndogo tofauti na vyuoni ambapo sometimes wanaibiana nguo
 
Umenikumbusha UDSM kuna wadada wa usafi walikua wanatufulia 250 kwakila nguo jiandae na hiyo changamoto.
 
Umenikumbusha UDSM kuna wadada wa usafi walikua wanatufulia 250 kwakila nguo jiandae na hiyo changamoto.

ofisi yangu mojawapo ipo mabibo nje hapo karibu na wapemba... nina soko kubwa sana la wanafunzi.. tena masters ndio karibu wote wanafua kwangu.. karibu sana kama upo udsm..

wale wa usafi wapo hata mabibo sana na hasa campus most.. na hawana standard ya huduma nazotoa mimi.. so karibu sana
 
Back
Top Bottom