Kile kiumbe cha ajabu yaani simba wa vichwa viwili na macho ma 3, anaendelea kulivuruga pori zima safari hii ameonekana akiwakimbiza wanyama wakubwa kama tembo na kifaru anawakamata na kuwatafuna, pia huyu simba wa ajabu ameanza kubadilika baada ya miguu yake ya mbele kuanza kuota kwato kama ngombe, pia amekua akipaa angani na kuwakamata ndege na kuwatafuna, cha ajabu zaidi amekuwa akilala juu ya miti kama ndege, pori limeingiliwa na mbabe wa ajabu simba wote ni mbio.