Parsley kwa kiswahili

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Ndugu wanajamvi, mimi ni mpenzi wa juisi ya kutengeneza mwenyewe. Katika kutafuta mseto wa juisi, naona mara nyingi parsley ikitumika kama moja ya mix za kutengeneza juice. Sijajua bado hili ni tunda au kiungo gani, naomba anayejua anitaarifu ili niweze kuboresha utengenezaji wa juisi.
 
Jamani nashukuruni kwa majibu yenu , nimepata mwanga na ujuzi zaidi. Linki ya Ilyoko.. pia imefafanua vizuri, aksanteni.
 
inaitwa kotmiri...sana wahindi huwa wanazinunua
Kotmiri siyo parsley ina vinafanana sana kwa umbile isipokuwa matumizi na harufu yake, ukienda kariakoo kama siyo mwenyeji wanaweza kukuuzia kotmiri kama parsley, sehemu ya uhakika unaweza pata parsley kama ilivyo kwa dar ni supermarket hasa shoprite au soko la kisutu karibu na posta mpya
 
Jamani nashukuruni kwa majibu yenu , nimepata mwanga na ujuzi zaidi. Linki ya Ilyoko.. pia imefafanua vizuri, aksanteni.

Hii kotmiri na nanaa [aina za parsley] unaweza kuotesha mwenyewe kwenye pot yako tu jikoni. Zinaota kirahisi na ni nzuri kwa afya
 
Kotmiri siyo parsley ina vinafanana sana kwa umbile isipokuwa matumizi na harufu yake, ukienda kariakoo kama siyo mwenyeji wanaweza kukuuzia kotmiri kama parsley, sehemu ya uhakika unaweza pata parsley kama ilivyo kwa dar ni supermarket hasa shoprite au soko la kisutu karibu na posta mpya

Sasa kwa ufahamu wako zinaitwaje,maana katmiri ziko za majani makubwa na ndogo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom