Parking ya malori barabarani,Temeke sasa too much!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 59996
Temeke kwa malori ni balaa!
Sijui Mbunge wake Mh Mtemvu analiona hili au la.
Malori yanapark mpaka barabarani na mengine wafundi wana overhaul injini bila wasiwasi katikati ya barabara.
Hii ni kero, hebu angalia watu wanalazimika kupita barabarani huku malori yameegeshwa kote kote.
 
Barabara yenyewe iko wapi ndugu? Mi naona sawa tu waendelee hadi tutakapopata vichwa vywenye vision kutuongoza, serikali inalia lia hakuna pesa za kuongezea madaktari mishahara lakini mapato inayapita kama hivi. Piga faini wote hao
 
Back
Top Bottom