Paris Saint-Germain Special Thread

Paris Saint-Germain Special Thread

Huu uzi hauna mashabiki kabisaa, Lol
Wana Finalists mko wapiii? Amkeni mkuje kutamba kwa uzi wenu. Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Ukiona mashabiki was hi timu jua ni wale wa nafki wa kichaka Fulani wapo kimkakati.
Wamark next season utawakuta wapo timu nyingine.
 
PSG msipochukua UEFA mwaka huu ntawashangaa sana.
 
1000664761.jpg
 
Nipigieni hao inter 5
Hakikisha kirikuu mapunye hapati hata goli la offside
 
Back
Top Bottom