Paris Saint-Germain Special Thread

Khalidoun

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,834
4,460
Jina: Paris Saint-Germain Football Club.

P-A-R-I-S.: Five letters that resonate around the world. Historically incomparable, culturally unique, the City of Light shines in the sporting world too in the colours red and blue

Kuanzishwa: 12 August 1970


Uwanja
: Parc des Princes , unaingiza watu 47,929.
kzrvf1r50iu0udr8nppl
Makombe:

Washindi wa Ligue 1 mara 6.

Washindi wa Ligue 2 mara 1.

Washindi wa Coupe de France mara 11.

Washindi wa Coupe de la Lige mara 7.

Washindi mara 7 wa Trophee des Champions.

Washindi mara 1 wa UEFA Cup Winner's Cup.

Washindi mara 1 wa UEFA intertoto Cup.

Le Classique: Mpinzani wa jadi kwa PSG katika Ligue 1 ni Olympique de Marseille katika mechi maarufu kama Le Classique

Tangu 2011, PSG imeshinda jumla ya vikombe 16, huku Zlatan Ibrahimovic aliehamia msimu wa 2012-2016 akifunga jumla ya magoli 156. Project mpya ya PSG kuanzia msimu wa 2017 ni MCN.

Mbappe, Cavani na Neymoney (Neymar) wapo katika kutengeneza "the Trident of their own" (MCN). Kwa usajili walioufanya msimu huu wa 2017/2018, PSG itakuwa ni miongoni mwa timu ambazo zitatazamwa kwa ukaribu sana katika Champions League na katika Ligue 1. Kwa kuwa bado timu hii haina mashabiki wa kutosha hapa Tz, si vibaya wale "plastic Fans" wanaohamia timu kutokana na majina ya wachezaji kutumia uzi huu kuwafuatilia kwa ukaribu MCN. Karibuni

Moderator

2166022-45277850-2560-1440.jpg



tIbwGUonP88-640x350.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom