secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,208
- 28,279
Mdharau mwiba mguu huota tende na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Waache dharau
Mdharau mwiba mguu huota tende na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Waache dharau
nawapa kazi mkamtoe arsenalNilimshauri Mbappe abaki PSG akanijibu kwa kejeli na nyodo eti anaenda timu ya kuchukua Uefa sasa kilichomkuta anakijua mwenyewe wakati huo PSG tunapeta tu
secretarybird
Imeisha hiyonawapa kazi mkamtoe arsenal
Arsenal tukiwambia psg sio mchezo hawatak kutuamini acha yawakuteLeo ambao tupo psg kwa mkopo naomba tujuane
Psg tumenyimwa penati, winga wetu kavutwa jezi ndani ya boxArsenal tukiwambia psg sio mchezo hawatak kutuamini acha yawakute
VAR hakuna leo?Psg tumenyimwa penati, winga wetu kavutwa jezi ndani ya box
PSG anaenda kuteketeza tim 3 za england kongole kwakePsg tumenyimwa penati, winga wetu kavutwa jezi ndani ya box
psg ana thibitisha tim za england hazimfany kitu City,liver,villa,arsernalHii mbugi ya leo kama mchezaji pumzi kisoda haumalizi dakika 10
sasa nimeuvamia uzi waoKazi imeshafanyika pakubwa bado kumalizia padogo palipobakia
Sio kwamba nyie ndo mumetoa ushindaniKumbe mna uzi wenu.
Pongezi kwenu. Mmetupa ushindani wa hali ya juu.